Dawa za ARV ziondolewe ili kuondoa janga la UKIMWI Duniani

Habarini za usiku wapendwa

Kama jinsi kichwa cha habari kinavyo jieleza binafsi naona njia pekee ya kuondoa ukimwi duniani ni kuondolewa kwa dawa za kufubaza virusi au kwa jina jingine ARV kwasababu watu wanatumia hizo dawa wanakua na mionekano mizuri kisha wanaendelea kusambaza kwa wengine sasa.

Kwa mwendo huo virusi havitaisha hapa ni hizo dawa ziondolewe tu au kama kweli wanaozitengeneza wana nia njema basi watengeneze chanjo au dawa ya kutibu kabisa

Naomba kuwasilisha.
Aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Brother ukiamka salama na kulala salama shukuru Mungu, ila uwe unatenga siku kwenda kutembelea wagonjwa hospitali wasiojiweza, kuna kitu utajifunza
 
Suruhisho si kuzuia ARV bali ni mwafrika mwenyewe kujitambua
 
Ukisoma huu Uzi ,unabakia kucheka tu. Pale mjinga anapotoa elimu kwa kujiamini haswaaa.......
 
Kama umeweza kufungua account ya mtandao huu wa great thinkers, unashindwaje kutambua kuwa hakuna kitu kinaitwa KIRUSI CHA UKIMWI! Ovyo kabisa.
 
Habarini za usiku wapendwa

Kama jinsi kichwa cha habari kinavyo jieleza binafsi naona njia pekee ya kuondoa ukimwi duniani ni kuondolewa kwa dawa za kufubaza virusi au kwa jina jingine ARV kwasababu watu wanatumia hizo dawa wanakua na mionekano mizuri kisha wanaendelea kusambaza kwa wengine sasa.

Kwa mwendo huo virusi havitaisha hapa ni hizo dawa ziondolewe tu au kama kweli wanaozitengeneza wana nia njema basi watengeneze chanjo au dawa ya kutibu kabisa

Naomba kuwasilisha.
Mm nilitaka ziwe zinauzwa sh 40000 kwa dozi ya mwezi ili kuwafanya watu waogope huo ugonjwa
 
Habarini za usiku wapendwa

Kama jinsi kichwa cha habari kinavyo jieleza binafsi naona njia pekee ya kuondoa ukimwi duniani ni kuondolewa kwa dawa za kufubaza virusi au kwa jina jingine ARV kwasababu watu wanatumia hizo dawa wanakua na mionekano mizuri kisha wanaendelea kusambaza kwa wengine sasa.

Kwa mwendo huo virusi havitaisha hapa ni hizo dawa ziondolewe tu au kama kweli wanaozitengeneza wana nia njema basi watengeneze chanjo au dawa ya kutibu kabisa

Naomba kuwasilisha.
kabla ya kuandika kitu si mfanye tafiti kidogo?
Wanaoeneza ukimwi si wanaotumia ARVs bali wale ambao hawajawahi kupima ila wana maambukizi.
ARVS zinafubaza virus na kumfanya mtumiaji asimuambukize mwenzake kirahisi
 
Aisee watakondeana bila hizo dawa,ugonjwa utatutisha zaidi.
Nalog off Z
 
Na hiyo ndiyo ufumbuzi wa huu ugonjwa japo mm nasema dawa ziachwe kutolewa bure ziuzwe sh40000 kwa dozi ya mwezi mmoja
 
Kinachositisha,
Mtu akishaanza kutumia, anazima Kama mshumaa
 
Sio kweli hapa ukweli ni kwamba izo ARV zimewekwa ili biashara iendelee kuwepo waendelee kuwauzia dawa tu na kwa taarifa yako ata vipimo vya hao virus havitoi majibu ya ukweli kwa wakati kwaio unaweza kutana na mtu ukajidai kumpima leo kumbe kapewa wiki moja iliyopita kipimo kinaonyesha hana then anakupa na wewe mwiso wa siku wanawaita wawape izo dawa ambazo ni biashara endelevu
Mental disorder is real.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazo zuri, mpango uanze nchi kwa nchi kutoziagiza na kuzitumia kabisa,
 
Habarini za usiku wapendwa

Kama jinsi kichwa cha habari kinavyo jieleza binafsi naona njia pekee ya kuondoa ukimwi duniani ni kuondolewa kwa dawa za kufubaza virusi au kwa jina jingine ARV kwasababu watu wanatumia hizo dawa wanakua na mionekano mizuri kisha wanaendelea kusambaza kwa wengine sasa.

Kwa mwendo huo virusi havitaisha hapa ni hizo dawa ziondolewe tu au kama kweli wanaozitengeneza wana nia njema basi watengeneze chanjo au dawa ya kutibu kabisa

Naomba kuwasilisha.
Ukinywa ARVs vizuri, huwezi ambukiza wengine
 
Back
Top Bottom