Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Nimejisikia faraja Mbowe kukamatwa

Hongera sana,kwa kufurahia wachache kunyanyaswa sababu ya madaraka.Madaraka yakilewesha sana matokeo yake ndiyo huu upuuzi uliouandika.

Ila kesho yako huijui.Tunawapenda watanzania kama nyie mnaofikiria Upinzani ni uadui na kwamba ukiua mpinzani basi ni sahihi kuzawadiwa cheo

Cc:Vuta-nkuvute
 
Mbona naambiwa na mtu aliye karibu naye kuwa hajakamatwa?
 
Hahahahahahahaaaaaaaa! Mnabadili santuri tu. poleni sana
You must be suffering from schizophrenia. Go and see your doctor old man before it's too late. Hapa vilaza wenzako tu wa CCM ndiyo wanashabikia ujinga wako. Wala humtetereshi yeyote. Unajichekesha....dumb ass
 
huyu jamaa ashaangamiza vijana wengi kwa faida yake blna bora afungwe moja kwa moja
Hizo taarifa na vielelezo vyako peleka kwa Kamishna ili afanye uchunguzi. Ukweli ukithibitika itakusaidia hata wewe. Kwani utakuwa umefuata taratibu kisheria.
 
Habari imekaa kichochezi unamkuta na huyu anawaambia watu ana taaluma ya uandishi wa habari, Non sense
 
Subiri Press Conference ya Kamanda Sirro
Ukitaka kumwamini siro sasahivi anza kumwamini Pengo kwanza.Shikamoo hela ya Lugemalila iliyopitia bank ya mkombozi na kuchukuliwa na yule Mzee waliyempeleka wakamficha kagera.
 
Ataenda vipi wakati Tundu Lissu na Kibatala wamemwambia asiende?na uzi upo humu.
MBOWE AMEKAMATWA!
 
Swali lako linalenga nini Kamanda? Unataka niiache CCM kama walivyoiacha Kingunge na Lowasa? Thubutu! Nimeshatoa masharti kwamba taarifa hii ikithibitika ni uongo nahamia rasmi UKAWA
Uende UKAWA kufanya nini? UKAWA wanapokea waongo?
 
Hahahahahahahaaaaaaaa! Mnabadili santuri tu. poleni sana
Makene, akizungumza na millardayo.com amesema Freeman Mbowe amekamatwa wakati akiwa njiani kuelekea kituo cha polisi kwa mahojiano.
 
Ataenda vipi wakati Tundu Lissu na Kibatala wamemwambia asiende?na uzi upo humu.
MBOWE AMEKAMATWA!

Akishakamatwa umepata Viwanda?? au ajira imeongezeka??Tumia akili ya kuzaliwa kwamba chuki hazijengi bali kubomoa Taifa.
 
Duh CHADEMA wana safe houses! Red brigade hawakuleta rabsha wakati kamands wao anatiwa nguvuni?

Hivi kwa nini atumie juhudi zote hizo kujificha wakati anafahamu/anatuaminisha kwamba hana kosa?
dawa ya moto ni moto. dawa ya siasa ni siasa.

hapo hakuna cha kesi wala nini. ni movie fulani imeanzishwa na kindergarten dhidi ya mtu mzima.

you're going to see "END" on your screen shortly. don't go away!
 
Kwa hiyo Lissu amekurupuka siyo?

Wewe ndiyo umekurupuka.Hujaletewa taarifa kwamba ameenda polisi na wakili wake au??bado uko kwenye ndoto ya viwanda??Unafikiri ukishamlaza Mbowe mahabusu kesho unapata viwanda na ajira??
 
  • Freeman Mbowe hajakamatwa na kikaragosi chochote kinachojiita police, yuko na shughuli zake tu.

Lakini pia ikumbukwe kuwa police stations sio mahali pa kutafutia haki, bali mahakamani.

No limit CHADEMA FOREVER MORE.
 

Attachments

  • IMG-20170220-WA0009.jpg
    34.4 KB · Views: 25
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…