Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Lizaboni kwa propaganda noma, heading ya thread kaanza neno "Dawa za Kulevya"
 
katika nchi ambayo kiongozi anakaa hadi miaka 10 tu madarakani hainogi sana.
 
Mkuu, haya mahaba ulionayo na CCM ni ya aina gani? umekuwa mpinga hoja mzuri za ukawa, hata mambo yasiohitaji kupingwa! Mungu akusaidie, ktk kipindi hiki cha kuteua na kutengua, na wewe ukateuliwe kuwa hata mkuu wa wilaya.

Kuna watu humu huwa hawatumii sawasawa akili zao, wanatamani kuwaaminisha wengine vitu tofauti na uhalisia. Sitaki kuamini kama siku linatokea anguko kwa upande ule mwingine wataishije.
Inaweza kuwa hukumu kwao na vizazi vyao. Itakuwa shida sana sana sana. Sana. Tuombe uzima tuje kushuhudia.
 
imeandikwa kimrengooo hiii
 
Mbowe anajiharibia sana angereport mwenyewe haya kukamatwa kama kuku yasingetokea.
 
Reactions: bdo
Hahahahahahahaaaaaaa! Anakumbuka yaliyomkuta Arusha aliposafirishwa kwa ndege kwenda Dar. Yaliyomkuta humo kwenye ndege hatakuja kusahau
Samahani naomba niambie alifanywa nini,maana kitu ambacho hawezi kusahau kama siyo mbwambwa ni mtandao wa hakichachi
 
Akishakamatwa umepata Viwanda?? au ajira imeongezeka??Tumia akili ya kuzaliwa kwamba chuki hazijengi bali kubomoa Taifa.
kwa hiyo asikamatwe kisa tunataka ajira na viwanda?Bavicha akili zenu zina matatizo sana kwa kutetea wahalifu.
Kama akikutwa anatumia dawa,tafuteni mwenyekiti mwingine kwa sababu katiba ya chadema inamzuia mtu anetumia madawa ya kulevya kuwa mwenyekiti.
Wooote waliomwita Lowassa wana masahibu mazito sana.
Lissu,Lema,Mbowe,saa nane na wengine listi inakuja
 
jionee huruma mwenyewe
Nalionea huruma taifa langu kwanza na aina ya watu waliomo ndani yake ambao hawana faida zaid ya hasara .hasa wanaume wa aina yako aisee ptuuu!! Mwanaume kuwa mbeambea na ushadadiaji mambo kwakweli sijui imekaaje hii! NAIONEA HURUMA NCHI YANGU TANZANIA.
 
Gari la Mbowe limeondoka labda dereva Amepangiwa tarehe ya Kuja Kumchukua mwenyekiti huyo wa CHADEMA.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…