Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa


Wahalifu uanwajua wewe??Wale akina Lugumi,Escrow,Bilioni nane,Nyumba za serikali uanwaweka wapi??Naona hujui wahalifu kuna siku utakuja kuwajua
 
Polisi hawajamkamata bana jamaa alikuwa njian kuelekea kituoni.....nakumbuka mgodini wale walinzi waliwauwa majambazi badae polisi walipofika wakasema wao ndo wamewaua...hii inafanana na hii..jamaa anajipeleka af wanataka kuonekana wana uwezo kweli..
 
Sawa, kukamatwa hatukatai, tatizo ni jinsi ulivoiandika, umeandika kisiasa sana na umeonesha wazi ni jinsi gani ulivofurahi.

Hao wametumwa kufanya hivyo na Mkuu wa Mkoa hivyo usishangae
 
Mhhhhhhhh vijana tufanye kitu kukomboa taifa tuache kulalamika .siipendi serikali ya sasa kwa sababu ipo sawa na ya kikoloni yao tawaza kutesa tuuuuu
Mkuu serikali ya kikoloni unaijua au unaisikia tu?acha utani kabisa na serikali hiyo.
 
Polisi hawajamkamata bana jamaa alikuwa njian kuelekea kituoni.....nakumbuka mgodini wale walinzi waliwauwa majambazi badae polisi walipofika wakasema wao ndo wamewaua...hii inafanana na hii..jamaa anajipeleka af wanataka kuonekana wana uwezo kweli..
Ni kweli kabisa mkuu wamekamata akiwa njianikuelekea kituo cha Polisi
 
Najaribu kuwaza siku CDM ikichukua Nchi......kwa hayo manyanyaso wanayopitia hawa watesi wao wataenda kujificha wapi?
Tuna plan gan ya kutuwezesha kushika hii nchi angali hatueleweki tunataka nini....sasa hivi kazi yetu ni kutetea yale tuliyokemea awali na kuwaaminisha watanzania kua hayako vzr...sisi kama upanzi wa serikali hii ya ccm...kama hatuna njia mbadalla kuongoza hii nchi ni kama kuanza safar bila kujua unaelekea wapi..ingawa kufia chama ndo sheria ya kua mwanacham....basi huu ndo ukweli...tusiwe kama hatuona viongoz wetu wanavovifanya.
 
Waheshimiwa Viongozi na Wanachama wa Chadema Dar es salaam, Siku ya leo Mwenyekiti wa Chama Mhe.Freeman Mbowe akiwa Kwenye Mkoa wetu wa Dar es salaam, Ameamua kwenda Central police baada ya kuwepo na Taarifa nyingi kwenye vyombo vya habari na Mitandao ya kijamii kuwa anahitajika Police.

Taarifa za kusema ya kwamba jeshi la police limemkamata na kumpeleka Central police ni taarifa za uongo ambazo hatujui zinataka kulenga kitu gani...Taarifa sahihi ni Kwamba Mhe.Freeman Mbowe ameamua kwenda baada ya taarifa kuzagaa kuwa anatafutwa.

By Henry Kilewo
Katibu Mkoa wa Dsm
 

Anaitwa kwa kiburi ati haendi. Kumbe ni kujificha. Hakika, Viongozi wa upinzani kwa woga wanaongoza. Mwingine alikesha bungeni asikamatwe. Wengine wanaropoka hovyo wakikamatwa ati serikali ya kibabe.

Kama wanashutumu utawala uliopo kwa kile wanachodai haifuati sheria na kuvunja Katiba, waoneshe mfano kwa vitendo kutii sheria pasipo shurti.
 

Cha Msingi watambue tu kwamba hizo appartment zao ni siri kwa jina lakini sio siri kwa maana halisi ya siri! Akili ya Tundu Lisu inamtosha mwenyewe real, akikuazima ndio kama haya yatakutokea!! (Za kuambiwa..........)
 
Hapo mpotoshaji ni Tumaini Makene, Henry Kilewo na John Mrema

Umeshapata Mpesa toka kwa Makonda??Au nikutumie Dompo upate kufurahia zaidi,maana naona unafuraha sana leo.Hongera maana kama ni ajira naona umepata na viwanda vimefunguliwa.Viva Magufuli kwa kutesa wapinzani wako maana kwako Kampeni hazijaisha.
 
Cha Msingi watambue tu kwamba hizo appartment zao ni siri kwa jina lakini sio siri kwa maana halisi ya siri! Akili ya Tundu Lisu inamtosha mwenyewe real, akikuazima ndio kama haya yatakutokea!! (Za kuambiwa..........)

Mnawasikiliza UVCCM wanavyowadanganya.Hivi ni wapi CDM inamiliki jengo??
 
Hajakamatwa ameenda mwenyewe baada ya taratibu zote kufanyika kisheria.
 
Chadema wametoboa siri za kujificha Mwenykt kwa Polisi
 
Ni kweli kabisa mkuu wamekamata akiwa njianikuelekea kituo cha Polisi
Acha hizo wewe,wamemuonaje na gari kabadili na lina tinted
Mbowe katiwa mbaroni.Kaambiwa aripoti saa 2,halafu aende saa tisa?
Mnaremba taarifa wakati nyie ndio mlikuwa mnamtetea asiende na Tundu Lissu na kibatali wameshauri asiende,kimempata kipi mpaka kaamua kuwakiuka mawakili wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…