Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

-->>Niwakati wao acha wayatende haya kwa sasa muda utafika pia wao hawatahurumiwa hata kidogo......""
Pole mkuu naona umenena kwa hisia kali sana!kibaba unachowapimia wenzako na wewe utapimiwa hichohicho!
 
Wameenda kusachi kwa Mbowe [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Hivi Lumumba kuna shamba?acha kukashifu Kazi za watu...we subiri buku saba
 
manji ni kiongozi wa Yanga.
Yanga si chama cha siasa chenye matarajio ya kutinga ikulu. Au unamaanisha inaruhusiwa kikatiba mtu anayetumia hayo mavitu kutinga ikulu? Si ni patakatifu pale kama tulivyoambiwa na Nyerere?
 
kuna mambo ya kufanyia mzaha wa vyama lakini kwa hili tunastahili kutulia na kuona sheria inasema nini( inamuhukumu vipi) wengi tunaelewa kuwa swala hili halifanyiki kwa uwazi hivyo mtu usiyemtegemea anaweza kuwa hatiani.
lakini natamani mngejua vizuri jinsi familia zinavyopata tabu kwa madhara haya ikiwa na mwathilika mmoja sijui kama angekuelewa katika kuangalia nafasi ya mtu katika jamii na umaarufu wake.
tuelewe kuwa polisi ni mahali salama na sio mahakama hivyo kila mtu anaweza kufika na kuhojiwa wakati kesi yake ikipelekwa mahakamani.
 
Haya mambo Mbowe ameyataka mwenyewe kwa ukondoo wake, kama angeruhusu maandamano ya ukuta walau polisi wangeona Chadema ni wanaume. Nashangaa ameshindwa hata kuitisha maandamano kesho kwenda kumtoa sentro. Lema amesahaulika jela sasa polisi wameona chadema ni mabwege wameamua kushika pu*bu kabisa na hakuna kitu chama kitafanya. Ruhusu vijana waandamane kukutoa selo wewe mpuuzi mbowe. Umefanya yule jamaa anavuruga nchi na anataka machafuko pasipo na ulazima acha tumuonyeshe kuwa kura zaidi ya milioni sita zilipigwa kwa Chadema
 
Tuombe Mungu asiwe anatumia ile zile dawa za kulevya au kuuza ili heshima yake iwe pale pale....
Lakini kipimo kirejesho majibu chanya basi tujiandae kisaikolojia...
 
Mbona wapata tabu hivi? Maslahi yako hasa ni yapi?
 
sijui ndio izo harakati za kuua upinzani kabla ya 2020 au ni vita halali dhidi ya madawa ya kulevya sijui!
 
.....
.....umetumwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…