Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Kuna uwezekano mkubwa yaliyomkuta Manji yanaweza kumkuta pia Mbowe, kwa style hii ni vigumu sana kupambana na vita vya madawa ya kulevya.
Nakuunga mkono kwa asilimia 100% kwani Vita hii imekuwa mchezo wa kuigiza kwa lengo la kuwaridhisha baadhi ya watu.Tuwe siriazi na Vita hii kwani inawaathiri vijana wengi ambayo ni nguvu kazi ya Taifa.Hatuwezi kupambana na Vita hii kwa Style hii.
 
Huu mtindo wa kumfata mtu na kumwambia twende ukapimwe kisha kumshitaki ni waajabu sana. Mbona wasiwakamate vijana ambao wapo kwa wingi mitaani tena washakuwa vibaka kwa hayo madawa na kuwashtaki?
Hivi inaleta sense kweli kumkamata mtu kama Manji ambaye hata kama anatumia (sio kuuza) madawa na kumshtaki mtu ambaye katika hali ya kawaida anapotumia madawa hayo habughuzi mtu bali anaendelea kufanya kazi zake kwa mafanikio na bado katoa ajira kibao?
Hiyo ndio vita kweli? Kuna akili inatumika hapo au ni visasi na kukomoana kunakoendelea? Hivi mnadhani watu wa aina hiyo kujengeana visasi ni jambo la maana? Hatari yake visasi vyake vinaweza visilipwe na aliyeumizwa bali watu wengine wenye maslahi na huyo mtu.
Haya sawa, ila tunayataka wenyewe. JK kaondoka akiwa na kicheko mpaka wasanii wanamuimba "Im sorry JK" tusubiri kama wengine nao wataondoka na kicheko.
 
Mjanja kanasa kwny tundu la sindano saf sana polisi waliofanikisha hilo zoezi alale hata huko huko central.
Nyie ndio wale mlioshangilia mlipoaminishwa kuwa waishio kama malaika watafanywa waishi kama mashetani, mkiamini kuwa nyie muishio kama mashetani ndio mtaanza kuishi kama malaika.
 
Mkuu mbona akili yangu ipo vizuri wewe huwezi kujua muulize bimkubwa wako ananijua vizuri akili yangu.
Sawa ngoja bimkubwa wangu faiza foxy akiamka ntamwambia yule alielishwa limbwata wa Lumumba akili zimemrudi Leo kaongea kdg cha maana
 
Hivi kweli polisi wanamamlaka ya kupima watu bila idhini ya mahakama kweli?
What much I know kupimwa ni ridhaa na sii kulazimishwa,hawa ng'ombe wanajichukulia Sheria bila hiyari,wallah mi hunifanyii ujinga huo bora uniue
 
Yanga si chama cha siasa chenye matarajio ya kutinga ikulu. Au unamaanisha inaruhusiwa kikatiba mtu anayetumia hayo mavitu kutinga ikulu? Si ni patakatifu pale kama tulivyoambiwa na Nyerere?
Obama alikuwa mvuta bange na bado akaingia ikulu.......mahali patakatifu ni mbinguni tu.....
 
Jamani;
Hivi tujiulize swali kidogo tu. Hata kama ni nini au hata kama Kamanda wetu mkakamavu mwenye uwezo mkuu na resources zote za HQ Siro IQ yake ni kidogo vipi, ataenda kweli kuupoteza mda wake kuangalia vyumba vya Mbowe anakolala bila uhakika kuwa anajua anacho kifanya/kitafuta?? Never! Lazima atatoka na kitu. Mbowe jitayarishe una la kujibu. Time is out for yu
 
Hahahahahah wenzio wana hofu imetanda mitaa ya ufipa unadhani wafadhili au wajerumani wakisikia majibu ya mkemia yakitoka vibaya unadhani itakuwaje?

Nashangaa hamkumpima Makonda aliye mpangia Nyumba International Trafficker wa Drugs aka Video Lady aka Masogange.Na amekutwa na Heroine na Cocaine Sasa mpangaji wa nyumba mlimpima??

Au Mwenye mzigo aka Prince Ritz.Na anayetumwagia pesa za kumwaga GSM mmempima??Wauzaji wa madawa mnawaaxha mnakimbizana na Wapinzani. Siku mkiujua ukweli ndipo mtakapo lia na kutoa macho
 
Usiombe yakukute unaweza kuwekewa chochote ndoo utawambia,police wakiamua kukufanyia chochote watafanya halafu na kufugwa utafugwa.sio wote walio ndani wanamakosa!
 
Uongozi imara!? Insu ni malengo, mwelekeo anaotupeleka wewe unaona ni sahihi kufikia tz ya viwanda na uchumi wa kati!?
 

La kujibu lipi??Hukumsikia.Siang'a alichosema?Kama hujamsikia.Basi pole Ika Makonda atawavalisha chupi vichwani.
 
Mungu nipe uvumilivu .
....
.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…