Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Hivi sizonje amewahi fanikiwa kwa lipi?
Huu uwendawazimu sijui utaisha lini.
Hawa madokta feki wa hii kantry wa wanatudhalilisha kwakweli kwa hii staili yao ya uongozi
 
Nani kakuambia Vita ya madawa inapiganwa kwa kuwapima waathirika
Njia moja wapo ni hiyo kwa hiyo kwa mke mia mkuu wanakwenda kumsalimia tu na ninadhani unajua la kama hujui ni hivi unapokuwa vitani kila mbinu hutumika,kila silaha hutumika ilimradi ushindi upatikane kwahiyo kupima ni moja ya kutafuta ukweli wa huyu anatumia madawa ya kulevya au la na kama anatumia aliyapata wapi ndicho kinachotafutwa hapa.
 

Ndo umefika mwisho WA upeo?
 
We we tema mate chini, unachofurahi Leo ni msiba wako kesho. Nilipanda basi pande flani za jiji kelekea pembezoni, ndani abiria mmoja analia kisabuni, nikamdodosa KWA upole ndo nini kulia? Kaninongoneza neno moja tu, hujasikia ya Msumbiji? Nikamjibu no! Ndugu yetu anaishi huko toka juzi hajaonekana na simu yake haipatikani, nikauchubua, je serikali yako imelichukuliaje? Ndugu zetu wanasafirishwa na malori Ka Ngombe, je thamani yako iko WAPI? Furahi tu unae ijua kesho yako.
 
Tuwekee sawa hili katika uelewa, kwani kucheza na serikali maana yake/yako ni nini?
 
Hongera ambaye kuripoti kwa Mbowe polisi hakutuletei viwanda wala ajira mpya.Ila furaha yako kuna.siku itakuwa msiba wako.

Hongera Lizabeth.Wasalimie Songea.
Viwanda vitakuja tukishawakamata people's wote
 
Hata siro Ni mzembe kati ya wazembe wengine yaani muda wote huo bado akute ushahidi
 
Tuombe Mungu asiwe anatumia ile zile dawa za kulevya au kuuza ili heshima yake iwe pale pale....
Lakini kipimo kirejesho majibu chanya basi tujiandae kisaikolojia...
Apimwe nani kwa Sheria ipi? Ni shetani tu mwenye tabia hii inayoiandama nchi yetu
 
injustice anywhere is a threat to justice everywhere
_________________________________
Never give up hon Freeman mbowe

Nimesahihisha wakuu


Chanzo Instgram @maalimseifshariff
 
Kuna uwezekano mkubwa yaliyomkuta Manji yanaweza kumkuta pia Mbowe, kwa style hii ni vigumu sana kupambana na vita vya madawa ya kulevya.
Unaweza kuta mpaka sizonje anabwia
 
Ni vizuri alivyokamatwa, wamuhoji kikamilifu na kwa kuzingatia sheria.sheria ichukue mkondo wake
 
Hivi kweli baada ya wiki mbili halafu wanaenda kumpekua? hii ndiyo tz.

Ukitaka vichekesho kama hivi njoo tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…