Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Yaani labda vipimo lakini kwa upande wa NYARAKA TANGU AITWE MPAKA LEO AWE BADO ANAZO TU MIMI SI DHANI.
Hapilisi mazoba sana.siku zote hizo hata kama ni kweli atanisubiri nyie na hivyo vizibhti!!!!!.kwanini hawakuvamia kabla hajatajwa.Tanzania hatuna jeshi la polisi.nyie polbsi wacheni kutumika kisiasa.
 
Ukoloni mamboleo ni shidaaa! Yaaaani watu mmegeuka badala ya kuokoa watanzania wanaopata shida msumbiji mmekomalia kukomoa wenzenu - hii nchi iangalieni kwa jicho la tatu
 
Ujinga wa wapinzani ni kudhani sheria zipo kwa baadhi ya watu tu na kujiona wao wapo juu ya sheria. Ishu ya madawa wameitwa watu wengi, lakini kuitwa Mbowe eti sio haki. Huyo Mbowe mnalala naye kwamba mnajua kila anachokifanya? Huyo Mbowe mnatembea naye kila sehemu kwamba mnajua anachokifanya? Suala binafsi la Mbowe mnalifanya kuwa la chama, si upuuzi huu. Au labda hayo madawa anayotuhumiwa ndio yanawafaidisha kwenye vyama vyenu?
Eti sheria.... ha haa haaaa...mnachekesha... lakini hata Idi Amini Dada na Hitler walikuwa na wafuasi sikushangai...... na wafuasi kama wewe walikuwa chama tawala na walio umizwa na sheria walikuwa ni wapinzani kama hao unao wasema.... be blessed....
 
Hakuna anayesema mpinzani yupo juu ya sheria....na watu wanapolalamika Mbowe kukamatwa ni vile wanaona yale yanayoendelea huu ya ukandamizaji kwa wapinzani, upinzani Tanzania sasa ni uadui, kufanya mkutano wa kisiasa kunaonekana uchochezi.........Katiba haifuatwi, MTU unawekwa ndani kwa vile tu kiongozi Fulani amejisikia kukuweka ndani........hii sio haki.
 
Hahahahahah wenzio wana hofu imetanda mitaa ya ufipa unadhani wafadhili au wajerumani wakisikia majibu ya mkemia yakitoka vibaya unadhani itakuwaje?
Nchi yetu yenda wapi, tumekuwa wachawi wanaosubiri waliemuwangia afe.
 
Makazi yake si yapo jimboni kwake...na Siku zote hz bado tu kizibiti kiwepo nyumbani....only in danganyika
 
Mhhhhhhhh vijana tufanye kitu kukomboa taifa tuache kulalamika .siipendi serikali ya sasa kwa sababu ipo sawa na ya kikoloni yao tawaza kutesa tuuuuu
Serikali kama hii ndio wananchi wweeengi tuliitaka. Mungu amejibu maombi proper
 
Polisi wetu kweli wako vzr sn, wanakutuhumu, wanakupa mda wa kutosha wa kujipanga kukaguliwa alafu ndo wanakuja kukupekua, safi sn askari wetu, nahic utaalam huu mmejifunzia nchini Israel
 
Mie nashindwa kulewa hawa wanaotajwa ni wauzaji au watumiaji?? Pili kama ilikua issue kutaja na tukaambiwa kuna awam mpk ya 7 mbona ya 3 tu hawakutaja pia week hii awam ya 4 naona kama haipo coz j3 ndo ilikua siku ya kutangaza sasa namuona daudi bashite yupo kimya tu kulikon
 
Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.

Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.

Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.

Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA




Hivi kama huyu jamaa ni mbwiaji unga kwa nini asiulizwe na mapolisi kwa ushirikaiano zaidi? Usikute wenzake walimtaja kwa Makonda na ndiyo maana aliitwa.
 
Back
Top Bottom