Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na vipi yule waziri aliyenunua ile pantoni mbovu? Na yule waziri aliye tupigisha mkenge kwa ile meli ya kuvulia samaki?Vipi hao polisi watamchukulia lini hatua yule aliyeuza nyumba za serikali alipikuwa waziri?
Kila mkakati manoanzisha mnaishia kukwama hata huu nao tayari mshatumbukia
Kuna uwezekano mkubwa yaliyomkuta Manji yanaweza kumkuta pia Mbowe, kwa style hii ni vigumu sana kupambana na vita vya madawa ya kulevya.
Ndiyo waliyovuta policeBangi ni ulevi mbaya kuliko viroba
Unaonekana ubongo umeganda kwa kupiga ramliMbowe huyu aliyeita press conferece? Nilisema huwezi kucheza na Serikali, hilo ni somo, wapinzani mna wakati mgumu sana kuelewa maana ya Serikali. Mtanyooka tu, mnafikiri nchi hii ni yenu peke yenu. Tupo Watanzania lukuki ambao tupo nyuma ya uongozi imara wa JPM.
Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.
Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.
Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.
Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA
Unakula pensheni yako ya buku 7 perdiem hapo Lumumba basi unajiona na wewe ni mwenye nchi unasahau shida zako zote za kijijini hakika Tanzania ni pagumu sana kuishi.Mbowe huyu aliyeita press conferece? Nilisema huwezi kucheza na Serikali, hilo ni somo, wapinzani mna wakati mgumu sana kuelewa maana ya Serikali. Mtanyooka tu, mnafikiri nchi hii ni yenu peke yenu. Tupo Watanzania lukuki ambao tupo nyuma ya uongozi imara wa JPM.
Lisu rais TLS mpaka ST inachanganyikiwaAisee kuwa mwangalifu, au hukumbuki kilichomponza Lisu.
Yaani labda vipimo lakini kwa upande wa NYARAKA TANGU AITWE MPAKA LEO AWE BADO ANAZO TU MIMI SI DHANI.
Polisi bwana tokea wamtanganze,yeye kwani mjinga aache ushahidi ndani?