Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi atuhitaj kuambiwa fanyeni kaz kwa mujibu wa Sheria.Sasa nikinanani ambao jamii ikiambiwa wanajihusisha na madawa ya kulevya iwe kwa kuuza au kwa kutumia tutapokea bila shaka yoyote?
Amejipeleka hajakamatwa nikuulize wewe common sense zinakuambiaje anaweza akawa na madawa ya kulevya ndani kwa muda wa wiki mbili tangu alipotangazwa jina lake na Makonda real? Ungekuwa wewe hata kama hujaripoti polisi ungeyaacha hayo madawa ndani? Perception by common sense is best than imaginary and mere theoriesWengi wetu humu jamvini kumbe tunajifanya kuwa wajuzi kwa kila fani na taaluma.
Serikali (RC na Polisi) inamwita Mh kiongozi Mkuu wa Chama cha Siasa na Kambi ya Upinzani Bungeni, kumhoji, na kwa jeuri anatangaza hadharani kutokwenda;
Wasaidizi wake nao wanatangaza hadharani kwamba wanakubaliana naye asiitikie mwito;
Lakini bado wanamkamata Kiongozi huyo na kwenda kumsachi nyumbani kwake;
Nabado mnatia mashaka uwezo na weledi wa Polisi! Hakika, kama siyo mapenzi kwa Mh, ni umbumbu wa hali ya juu ya kazi, ujuzi na uwezo wa Polisi.
Ati, mwasemaje nyie mlioandika hivyo!
Siyo Polisi wazembe bali ni heshima waliyompatia mh.Mbowe kutokana na wadhifa au nyadhifa zake kwa upande wa upinzani,lakini yeye hakuitumia nafasi hiyo zaidi ya kutokuchukua au kutokufanya maamuzi mapema ya kufika kituo cha Police.Hapilisi mazoba sana.siku zote hizo hata kama ni kweli atanisubiri nyie na hivyo vizibhti!!!!!.kwanini hawakuvamia kabla hajatajwa.Tanzania hatuna jeshi la polisi.nyie polbsi wacheni kutumika kisiasa.
Wazungu siyo wajinga kama unavyofikiri, wanajua sarakasi zote hizi dhamira yake ni nini, nyie bakini hapa Lumumba tu mkifanywa kama wajinga msiojitambuaDuh Majibu ya mkemia tu ndo nayawazia maana kama yakitoka ndivyo sivyo heshima ya mtu inakwenda kuzikwa rasmi
Mkemia ndio ameshikilia heshima na wajihi wa mwenyekiti kwani majibu yakitoka ndivyo sinyo bhasi heshima aliyoijenga ndani ya miaka 20 inakwenda kuwa fedhea kubwa na ndio utakuwa mwisho wa kwenda Bunge la ulaya kwani wazungu wakisikia majibu ya mkemia hakuna taasisi au mtu yeyote atakayekubali kuwa karibu na Ufipa empire
Mtaelewa tuu.Kuna uwezekano mkubwa yaliyomkuta Manji yanaweza kumkuta pia Mbowe, kwa style hii ni vigumu sana kupambana na vita vya madawa ya kulevya.
Amejipeleka hajakamatwa nikuulize wewe common sense zinakuambiaje anaweza akawa na madawa ya kulevya ndani kwa muda wa wiki mbili tangu alipotangazwa jina lake na Makonda real? Ungekuwa wewe hata kama hujaripoti polisi ungeyaacha hayo madawa ndani? Perception by common sense is best than imaginary and mere theories
Tuache sisi tuzisome namba tulioukataa ujinga toka awali...iko siku mtatupa asante!JF ya sasa imejaa mapunguani sana kila issues za kitaifa wanaingiza ushabiki wa kisiasa nikuilize hivi Manji ni Chadema?
Beyond kwamba ameyaacha ndani pamoja na predictability iliyopo? Popote panapokuwa na predictability ni njia sahihi ya kuwafanya wananchi waarange mambo yao kuepuka liability ndiyo maana kuna wale polisi wa usalama barabarani huwa wanashitukiza kupiga tochi wakitokea vichakani polisi wao wanajua the logic behind, in fact njia waliyoitumia toka awali wameikosea huwezi kumtangaza mtu hadharani kwa tuhuma halafu wiki moja baadaye uanze kutafuta ushahidi unadhani hoja ya kusema mtuhumiwa atapoteza ushahidi inatoka wapi na logically mtu kama mbowe hawezi kupoteza ushahidi if at all anahusika?Hiyo ndo common sense inayotushinda kutumia. Ati kwa kuwa ana taarifa mapema, kama anahusika, atakuwa na muda wa kuficha! Kwa nini tusijiulize "beyond that common sense".
mhh ila hata mimi ninahofu wanaweza wakambambikia, au hata kwa mkemea pia waweza wakapika vitu ili mradi tu wamfurahishe mkuluKwa mawazo yangu wame enda na vyao
Ila tuxubr majib ya policcm
Ulidhani rahisi?Kuna uwezekano mkubwa yaliyomkuta Manji yanaweza kumkuta pia Mbowe, kwa style hii ni vigumu sana kupambana na vita vya madawa ya kulevya.
Huo ndio mtihani, kama mtego/kitendawili, katika njia mpya ya kupambana na biashara ya madawa ya kulevya.Beyond kwamba ameyaacha ndani pamoja na predictability iliyopo? Popote panapokuwa na predictability ni njia sahihi ya kuwafanya wananchi waarange mambo yao kuepuka liability ndiyo maana kuna wale polisi wa usalama barabarani huwa wanashitukiza kupiga tochi wakitokea vichakani polisi wao wanajua the logic behind, in fact njia waliyoitumia toka awali wameikosea huwezi kumtangaza mtu hadharani kwa tuhuma halafu wiki moja baadaye uanze kutafuta ushahidi unadhani hoja ya kusema mtuhumiwa atapoteza ushahidi inatoka wapi na logically mtu kama mbowe hawezi kupoteza ushahidi if at all anahusika?
JF ya sasa imejaa mapunguani sana kila issues za kitaifa wanaingiza ushabiki wa kisiasa nikuilize hivi Manji ni Chadema?