Well said.
Hakika katika hili Mhe. Mbowe na CHADEMA wasirudi nyuma lazima kieleweke! Kama ni kweli Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa KUB Nungeni amekutwa HANA MADAWA ya kulevya iwe sijui Cocaine,Heroin,Bangi, Mirungi,n.k LAZIMA MBOWE NA CHADEMA WATOE FUNDISHO KWA POLISI,MAKONDA,SIRRO,MAGUFULI na Serikali yao ya CCM!
Haiwezekani Watawala waingize siada za kutaka KUUA UPINZANI KWA KUTUMIA KISINGIZIO CHA KUBAMBIKA WATU KESI ZA KIHUNI!!!!!!
Watanzani shime tukatae upumbavu huu na lazima ukomeshwe mara moja!