Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Anty Tetty hupendi jibu maswali veve ndio shida yako umekazana kupinga na kupiga makelele chooni.

Leo mtatukana sana ila TIINI sheria bila shuruti period.Pokea wito huo acha blah blah.Unataka kwenda mbio wakati huna break??
 
Naomba kujuzwa, baada ya kuachiwa kwake pale jana, je...alifungwa 'monitor' mguuni ili wachunguze mienendo yake?
 
Jeshi la polisi linafanya 'siasa'. Mh Mbowe anatafutiwa kesi (character assassination).


KADA
 
Asubuhi hii nimesoma orodha ya "madawa ya kulevya" yaliyokamatwa kwenye upekuzi makini na wa kisayansi wa polisi wanaofanya kazi zao kwa weledi wa hali ya juu kabisa wakiongozwa na uzalendo mtupu na uzalendo pekee huko nyumbani kwa mshukiwa mkubwa anayetaka kuliangamiza taifa, kisha nikajisifia peke yangu: "Lazima Paulo atashinda hivi vita dhidi ya madawa kama ule ushindi wa Daudi maana Roho Mtakatifu aenenda pamoja naye, ndaniye, chiniye na juuye!" Hebu nawe isome hii orodha ya madawa hatari, kisha unipe maoni yako:

1. Hati moja ya CHADEMA CHASO kwenda kwa Mwenyekiti ya tarehe 16/7/2013
2. Picha mbali mbali nane za matukio ya uhalifu - picha za wahalifu wanaoharibu mali
3. Hati moja ya Rasimu ya Kwanza ya CHADEMA kuhusu uundwaji wa Red Brigade
4. Hati moja ya kurasa 13 inayoongelea mambo ya Muungano.
Samahani kwa kukuquote . Ni muda sijachangia jambo hapa jamvini.


Je kwa nini Mbowe awaruhusu wachukue mali za Chama ambazo hazihusiani na madawa ya kulevya na kisha kutia sahihi fomu hiyo?

Au tuhitimishe kuwa kuna insider ambaye amekisaliti chama kwa namna moja au nyingine?

Kujua mahali nyaraka chukuliwa zipo kunanipa mashaka kuhusu alipo BEN SAANANE. Huenda anahojiwa pahala na amekwishaanza sema mambo na ndo zikatafutwa sababu za kuwezesha Mbowe kusachiwa!

[HASHTAG]#udikteta[/HASHTAG] ni kuwa against "rule of law"
[HASHTAG]#MakondaNendaMahakamani[/HASHTAG]
 
Leo mtatukana sana ila TIINI sheria bila shuruti period.Pokea wito huo acha blah blah.Unataka kwenda mbio wakati huna break??
M/kitu wako lini aliwahi kutii hiyo sheria? angeanza kutoa mifano yeye kama figure ya hekaya yenu huko. Aache mambo ya bongo movie
 
Mhhhhhhhh vijana tufanye kitu kukomboa taifa tuache kulalamika .siipendi serikali ya sasa kwa sababu ipo sawa na ya kikoloni yao tawaza kutesa tuuuuu

Nachukia sana malalamiko yanayoendelea. Naamini tukiacha kulalamika, thread za kijinga na kutetea ujinga za baadhi ya watu zitaacha.
Kuna watu wana mapenzi ya upofu kujifanya hawaoni tuendako au tuendako ni sahihi. Kiukweli kuna tabaka moja lipo la hatari sana.
 
Back
Top Bottom