Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Lizabon leo yuko chakari,nilimwambia jana akumbuke leo Boss wake ana kesi iko Mahakama kuu.Nasikia amekataa wito ngoja tusubiri kama Mahakama ina MENO au meno yalishang'olewa
yaaani naweza kusema watu aina ya MH SANA MH. MBOWE sio watu wa kujaribiwa kwa manenomaneno kama jamaa sizonje akiguswa tu anakurupuka bila kutuliza mzuka.
sasa wamejaribu sehemu isiyojaribiwa.
utam wa hii kitu ni.. vita imewakutanisha wenyew kwa wenyeww ngoja tuone nani zaidi.. mahakama! au MADEREVA na SERRO
UTII BILA SHURUTISHO ni mazingaumbwe
 
Lizabon leo yuko chakari,nilimwambia jana akumbuke leo Boss wake ana kesi iko Mahakama kuu.Nasikia amekataa wito ngoja tusubiri kama Mahakama ina MENO au meno yalishang'olewa
Thubuutuuuu,hana jeuri ya kukataa wito wa mahakama
 
watanzania sie waoga....hatuwez kufikia yaliyotokea Rwanda au Burundi..so achana na habari za kumwaga damu! hakuna atakaye mwaga damu rabda amwage jasho
Unawajua Burkina Faso, Central Africa,wote hao wamewahi kuwa waoga kama sisi.
 
Leo hii wanakimbilia mafichoni kwa aibu

Tatizo la kubiwa unga kupita kiasi.HAwajui kwamba hawako juu ya Sheria.Walivyoambiwa walidhani wao ni Marais wanakinga,waende sasa
 
Hatuwezi kuendelea kuvumilia upuuzi wa udhalilishaji kama huu kwa ajili watu wachache wasiokuwa na akili Makonda alituhumu Mbowe kuhusika na madawa ya kulevya jana wameenda kufanya upekuzi nyumbani kwake hajakuta chochote. Makonda anajikiaje kumwaribia Mbowe jina? watalipa gharama za kuchafua jina iwe fundisho kwa wengine kesi iko mahakamani Sirro na Makonda wataitwa kujieleza
 

Walisahau kwamba wao hawana KINGA,na wamejifungia SELLO kuogopa MAHAKAMA.
 
Asubuhi hii nimesoma orodha ya "madawa ya kulevya" yaliyokamatwa kwenye upekuzi makini na wa kisayansi wa polisi wanaofanya kazi zao kwa weledi wa hali ya juu kabisa wakiongozwa na uzalendo mtupu na uzalendo pekee huko nyumbani kwa mshukiwa mkubwa anayetaka kuliangamiza taifa, kisha nikajisifia peke yangu: "Lazima Paulo atashinda hivi vita dhidi ya madawa kama ule ushindi wa Daudi maana Roho Mtakatifu aenenda pamoja naye, ndaniye, chiniye na juuye!" Hebu nawe isome hii orodha ya madawa hatari, kisha unipe maoni yako:

1. Hati moja ya CHADEMA CHASO kwenda kwa Mwenyekiti ya tarehe 16/7/2013
2. Picha mbali mbali nane za matukio ya uhalifu - picha za wahalifu wanaoharibu mali
3. Hati moja ya Rasimu ya Kwanza ya CHADEMA kuhusu uundwaji wa Red Brigade
4. Hati moja ya kurasa 13 inayoongelea mambo ya Muungano.
 
Leo hawapo,nasikia wamekimbia WITO wa Mahakama.Huku hawatakuja ng'ooooooooooooooooooooooo
 
Wewe umeona kuna kesi hapo? lazima utakuwa james sio bure.
 
Ndiyo nenda mahakamani sasa,hujui muosha huoshwa?/Zamu yako nenda Mzee uliyebwia Madaraka
Anty Tetty hupendi jibu maswali veve ndio shida yako umekazana kupinga na kupiga makelele chooni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…