OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,339
Kieleze basi kama unajua?Mbowe anajua nini kilimtokea
Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kieleze basi kama unajua?Mbowe anajua nini kilimtokea
Hahahahahahahaaaaaaa! Anakumbuka yaliyomkuta Arusha aliposafirishwa kwa ndege kwenda Dar. Yaliyomkuta humo kwenye ndege hatakuja kusahau
Mkuu kumbuka ahadi ni deni. Tutajitahidi kutukumbusha utimize ahadi yako.Meanwhile kule kwa mkeemia mkuu mkojo wa chid benzi umewasili kwenye land cruiser nyeupe yenye vioo vyeusi tii tayari kwa kutumika kama sample ya bwana Mbowe...
Nafikiria kwa sauti tu!
Mbowe akikutwa negative mnikumbushe ninye hapa mpaka Hai.
Unless mkeemia awe Gwajima.!
Akipata arosto wamuulize Ben yupo wapiKwahiyo akili yako imejua nin?
Nyie akina nani?jamani sisi hatukutaka kumkamata mh mbowe kwa kumdhaslilisha na ndo maana tukamwomba ndg siro akatoe taarifa kwa uma ili kwa nyia hiyo mbwowe asikie na afike dsm kwa ajili ya kuhojiwa tuu na sii vinginevyo sasa yeye kakaidi kaenda kujificha vijana wangu wa nguvu wakamfuata na wakamleta hapa sasa hili ni onyo kwa waliobakia kuwa waheshimu mamlaka halali
Kwani dereva haruhusiwi kwenda kumfuata boss wake alipokamatwa ili arudi naye?....mwenzio kaambiwa ondoka haraka huwez kumchukua muda huu ndio gari ikaondoka.....Kama gari lake limeondoka na yeye kabaki, maana yake hakupelekwa na Defender. Kaenda mwenyewe, hakukamatwa.
Ni upinzani tu ndo huomba dua za mtawala kutekeza. Mwenye akili timamu, mstaarabu, mtu makini hawezi kudharaumwitohata kama anayekuita ni mtu mdogo.
Mh Mbowe, kwa heshima aliyojijengea katika Taifa hili, kwa kauli zake za kila siku kushutumu Serikali ati inatawala kinyume na Katiba na sheria za nchi, alipaswa kuonesha kwa vitendo"utii wa sheria bila shurti".
Kwa kitendo chake chakukaidi wito wa mmalaka zilizopo Kikatibahastahili kuwa kiongozi katikangazi yoyote ya utawala wa nchi hii.
Pamoja na hilo aliloitiwaakakaidi,afunguliwe shitaka la kuzuia Polisi kutimiza wajibu wake.
Enyi viongozi wa kisiasa 'uchwara' si Watanzania wote wabafurahia vitendo vyenu. Muishi kama mnavyohubiri mema na kutoa matumaini kwa WaTZ, kwenye majukwaa.
Wewe unajua utaratibu gani wa kuitwa uliondikwa kisheria? Tuanzie hapo, ktk sheria wamesema tu....mtu anayekaidi wito wa polisi anaweza kuadhibiwa kwa.....wewe ndio tupe kanuni yako na sheria ilivyosema. Wito ni wito hata kwa mdomo.Mkuu tusaidiane katika mantiki ya Uchambuzi wako..
1-Ni utaratibu upi ulitumika kumuita Mh Mbowe.(jibu).
2-Je huo utaratibu ulizingatia kanuni kwa mujibu wa Sheria?.(Jibu)
Tuanzie hapo ili tuweze kumhukumu kwa 'Haki' Mh Mbowe ...
Na huyu pia...Kwani wauza Unga hawana watoto? C.c Clinton Mbowe
Hii inanikumbusha Trump. Alipokuwa akijinadi alisema atajenga ukuta Mexico kuzuia wahamiaji haramu na madawa ya kulevya. Kamanda Siro alimwambia Mbowe ajisalimishe hadi kufika leo; leo hajajisalimisha ni sawa kamkamata, kama kamkamata kweli. Lakini sielewi kwa nini Mr Mbowe ajidgalilishe kwa kujificha? Au jamani ni popaganda za Lumumba?Nina hakika na taarifa hii. Sijawahi kuleta habari ya uongo hapa
Kama ni kwa ushabiki wa kisiasa umepatia,lakini kwa masilahi ya nchi ujiulize je taratibu zinafuatwa? Na mwisho wa yote itakuwaje? Nani anafaidika na hili sakata?miaka kadhaa nyuma kumekua na shutuma kwa serikali kufumbia macho masuala kadhaa yenye maslahi kwa taifa likiwemo hili la taifa kuangamia na madawa ya kulevya, ziku za karibuni serikali ya awamu ya nne imejizatiti kutokomeza miongoni mwa majinamizi yaliyokua yanaonekana vikwazo kwenye awamu zilizopita mbali na lile la ufisadi ambalo makomandoo wa chadema walikua wanaliweka mbele kama sera tambulishi kwao, sambamba na hilo shuhuda zinaendelea kutanabaisha kwa kujionea vijana wasanii wa filamu wanamuziki na wafanyabiashara maarufu waliokua wanaonewa haya na awamu zilizopita sasa wanatangazwa mubashara kwa kufanya biashara au kutumia madawa haya.....kilichonisukuma kuandika uzi huu ni pale makomandoo wenzangu wa chadema wanapotoka mapovu eti kwa kutajwa mwenyekiti wa chama chao kwa tuhuma za kujihusisha na ngada....kwani kwa mbowe kua mwenyekiti wa chama pekee kunaweza kumpa utakatifu wa kujitoa kwenye uhusika wa ngada?...kwa ushauri tu tuiweke nchi yetu mbele na si mtu wala kitu tuache mahaba yaliyopindukia ya kiushabiki tu na kama ingekua si kuiweka nchi mbele basi ccm makonda angeanza kumuonea haya ccm zungu na kutokumtaja kabisa...tubadilikeni jamani watu wote ni sawa na wana haki na wajibu sawa kwa jamii sio kunya anye kuku akinya bata kahara....nawasilisha