Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Kupigania uhuru si kazi rahisi , lakini ushahidi unaonyesha kwamba HAKUNA MAHALI POPOTE KATIKA DUNIA HII AMBAPO DHULUMA ILIWAHI KUISHINDA HAKI .
 
Embu acheni propaganda...... mnapata nini mnaposambaza taarifa za uongo na kupotosha umma?? Una uhakika mbowe kakamatwa au aliambiwa aripoti jumatatu??? Ssa siku haijaisha polisi waende kumkamata wa nini???

Mkuu unaheshima kubwa humu jf usitaki udharaulike
Tunamkariri kamanda Siro humu,kasema Mbowe kakamatwa
 
Gari la Mbowe limeondoka labda dereva Amepangiwa tarehe ya Kuja Kumchukua mwenyekiti huyo wa CHADEMA.




Tunajua mmefurahi sana ,mshikilieni mpaka mtakapo ridhisha nafsi zetu.Mkitaka kumuua muueni tu labda Maisha yenu yatakuwa na furaha zaidi..
 
Mbowe kakosa UJASIRI hadi kazima simu tangua Jumatano wiki iliyopita, wala haonekani hadharani, huyu hafai kukabidhiwa nchi, anaogopa wito wa POLISI!!
Lissu alishasema, "mahabusu sio mahala pazuri"
 
Kama ni kweli basi Mbowe anajimaliza kisiasa, kwa nini ajifiche kama hana dosari?
Iwe kweli iwe uongo mbowe bado ni hero,ni malema wa TZ,hata wamchafue hawatafanikiwa kumharibia CV aliyoijenga ktk kujenga chama thabiti CDM
 
Mleta hoja anapotosha , haijafikia hata kuchukua maelezo , sasa ya dhamana umeyatoa wapi sijui umekula maharage ya wapi wewe
Tumeonyeshwa gari lake likiondoka na yeye kabaki. Akili kichwani...
 
Watu wenye Mioyo ya Betri wengine wanakuwa na roho katili sana ..........lakini saa unajuwa zinavyojuwa kugoma ghafla .....
People bleed yes but they will survive ........
Hata yule aliyeamuliwa auliwe kwa kufuatiliza PHD kama Kainerugaba Msemakweli ......Mungu atamlipia !!.
 
Kukamatwa Kwa mbowe ambaye ni mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini. Na pia ni kiongozi mkuu wa upinzani Bungeni sio jambo dogo. Hasa kukamatwa huku kisiasa siasa. Nchi nyengine hawakubali kirahisi lazima timbwili lianzishwe...ili heshima ipatikane.
Kuridhia hili sasa ni vyema tukafuta vyama vingi...kama mkuu atalazwa shimoni ..mimi na wewe je?

Tukubali kushindwa kuleta democrasia na badala ya kuwa na vyama vingi tuvunje ..tuwe na chama kimoja au hata uchifu ili aliyeko akae tu maisha...na tutampigia makofi kila apitapo...

Tukubali maamuma sasa hatuna chetu...na jamii forum iwe forum ya mapenzi kuepuka kugongwa bure...

Tukumbuke huyu nyoka anatambaa kashamaliza bara na sasa anaenda Znz kwa Seif...tegeni masikio ..utasikia kama sio Seif basi Mazrui au Jussa au Duni anabwia unga
 
Hahahahahahahaaaaaaaa! Mnabadili santuri tu. poleni sana
Waziri wenu anasema tayari kuna viwanda 52,000. Kwa nguvu hii unayotumia kwenye udaku, ungeilekeza kwenye juhudi za waziri huyo, kila asiye na ajira angeishakuwa na kiwanda chake. Maudaku ya lumumba si yangepungua na kuisha WAJAMENI.
 
Tunamkariri kamanda Siro humu,kasema Mbowe kakamatwa
Nod uweke taarifa kamili sasa sio tunakaa watu wazima tunajadilo ma kushabikia taarifa ya lizbaoni eti "anahamishwa apartment alipoenda kujificha " sijui "safe house ya chadema"??? Hayo kayasema sirro??? Na wwe unashabikia bila aibu....... hayo maneno ya sitro yakwapi.??? Kwanni msisubiri taarifa kamili ya polisi na mbowe ndio mjadili sio kufanyia kazi propaganda??? Ssa ikidhihirika alijisalimisha utasemaje??? Utaomba radhi???

Duh kama jf imefikia hatua hii ifungiwe tu na Nape
 
Mhhhhhhhh vijana tufanye kitu kukomboa taifa tuache kulalamika .siipendi serikali ya sasa kwa sababu ipo sawa na ya kikoloni yao tawaza kutesa tuuuuu
Vipi kuhusu vita ya dawa za kulevya? Mbona madawa yanatuangusha?
 
Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.

Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.

Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.

Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA


Hata kama kakamatwa sawa maana angekwenda Ijumaa wangesingizia ni weekend akae ndani ili Jumatatu ndio waendelee na mahojino sasa watamuoji na kesho atapata dhamana au leo hii
 
Back
Top Bottom