Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kupigania uhuru si kazi rahisi , lakini ushahidi unaonyesha kwamba HAKUNA MAHALI POPOTE KATIKA DUNIA HII AMBAPO DHULUMA ILIWAHI KUISHINDA HAKI .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunamkariri kamanda Siro humu,kasema Mbowe kakamatwaEmbu acheni propaganda...... mnapata nini mnaposambaza taarifa za uongo na kupotosha umma?? Una uhakika mbowe kakamatwa au aliambiwa aripoti jumatatu??? Ssa siku haijaisha polisi waende kumkamata wa nini???
Mkuu unaheshima kubwa humu jf usitaki udharaulike
Gari la Mbowe limeondoka labda dereva Amepangiwa tarehe ya Kuja Kumchukua mwenyekiti huyo wa CHADEMA.
Lissu alishasema, "mahabusu sio mahala pazuri"Mbowe kakosa UJASIRI hadi kazima simu tangua Jumatano wiki iliyopita, wala haonekani hadharani, huyu hafai kukabidhiwa nchi, anaogopa wito wa POLISI!!
Polisi mwenye akili timamu anaheshimu viongozi wakuu wa kesho .Ajabu vyombo vyote vya habari vinavyosema kuwa jamaa kajipeleka mwenyewe vimetaja chanzo cha habari kuwa ni pande zile...ukweli unabaki palepale...amekamatwaa hata km eti njiani
Iwe kweli iwe uongo mbowe bado ni hero,ni malema wa TZ,hata wamchafue hawatafanikiwa kumharibia CV aliyoijenga ktk kujenga chama thabiti CDMKama ni kweli basi Mbowe anajimaliza kisiasa, kwa nini ajifiche kama hana dosari?
Tumeonyeshwa gari lake likiondoka na yeye kabaki. Akili kichwani...Mleta hoja anapotosha , haijafikia hata kuchukua maelezo , sasa ya dhamana umeyatoa wapi sijui umekula maharage ya wapi wewe
Kwahiyo teja mbowe mda huu yuko mikonon mwa siro bas poa lakin jamaa ni mwoga kinoma sasa alikua anakimbia nini
Yatakuwaa ya mbeya maji maraa mojaaMleta hoja anapotosha , haijafikia hata kuchukua maelezo , sasa ya dhamana umeyatoa wapi sijui umekula maharage ya wapi wewe
Waziri wenu anasema tayari kuna viwanda 52,000. Kwa nguvu hii unayotumia kwenye udaku, ungeilekeza kwenye juhudi za waziri huyo, kila asiye na ajira angeishakuwa na kiwanda chake. Maudaku ya lumumba si yangepungua na kuisha WAJAMENI.Hahahahahahahaaaaaaaa! Mnabadili santuri tu. poleni sana
Tulieni mnyooshwe...mpaka mtii sheriaKupigania uhuru si kazi rahisi , lakini ushahidi unaonyesha kwamba HAKUNA MAHALI POPOTE KATIKA DUNIA HII AMBAPO DHULUMA ILIWAHI KUISHINDA HAKI .
Nod uweke taarifa kamili sasa sio tunakaa watu wazima tunajadilo ma kushabikia taarifa ya lizbaoni eti "anahamishwa apartment alipoenda kujificha " sijui "safe house ya chadema"??? Hayo kayasema sirro??? Na wwe unashabikia bila aibu....... hayo maneno ya sitro yakwapi.??? Kwanni msisubiri taarifa kamili ya polisi na mbowe ndio mjadili sio kufanyia kazi propaganda??? Ssa ikidhihirika alijisalimisha utasemaje??? Utaomba radhi???Tunamkariri kamanda Siro humu,kasema Mbowe kakamatwa
Vipi kuhusu vita ya dawa za kulevya? Mbona madawa yanatuangusha?Mhhhhhhhh vijana tufanye kitu kukomboa taifa tuache kulalamika .siipendi serikali ya sasa kwa sababu ipo sawa na ya kikoloni yao tawaza kutesa tuuuuu
Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.
Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.
Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.
Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA