Joselela
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 6,109
- 8,080
Na kuuza madawa ya kulevya ,ndio demokrasia eeh!Utawala bora ni ule wa kudharau viongozi walioko madarajani!
Demokrasia ni kusema na kufanya/kutenda lolote bila mipaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kuuza madawa ya kulevya ,ndio demokrasia eeh!Utawala bora ni ule wa kudharau viongozi walioko madarajani!
Demokrasia ni kusema na kufanya/kutenda lolote bila mipaka.
Na kuuza madawa ya kulevya ,ndio demokrasia eeh!
Baada ya kukaa Mafichoni kwa Muda mrefu Mheshimiwa Mbowe ameweza kutiwa Nguvuni mchana wa Leo na Vijana shupavu wa Jeshi la Polisi.
Mbowe alikua Kajificha Mikocheni baada ya day and night hunt waliweza kumfuma japo kumekua na upotoshaji kutoka CHADEMA unaopamba habari kuwa eti amejipeleka yeye mwenyewe.
Embu acheni propaganda...... mnapata nini mnaposambaza taarifa za uongo na kupotosha umma?? Una uhakika mbowe kakamatwa au aliambiwa aripoti jumatatu??? Ssa siku haijaisha polisi waende kumkamata wa nini???Kamanda jana ulifungua thread kwa tamko koko kutoka bavicha.Mlidhani hilo teja lenu haliwezi kukamatwa?
Mbowe ana mlinzi na dereva toka serilikalini,anawasiliana na sumaye na Lowassa wenye walinzi na madereva toka serikali unategemea nini?wanarusha tu coordinates,ndio maana kakamatwa getini anataka kutoroka!
Mmmh angekuwa jina lake linaanza na alhaji diouf ungesema mnaonewa ila kwa kuwa anaitwa mtu huru yaani Free man unafurahiJumatatu asubuhi, saa hizi saa ngapi?
Stay connected. JF itakuwa ya kwanza kuwahabarisha
Ndio umeona la kutoka nalo ha ha ha ha we ni zaidi ya waandishi wa habari au? Tutolee ujinga hapa
Kwani Mbowe aliwahi kuuza "unga" au ni tuhuma tu. Unaifahamu universal Declaration of Human rights, article 11 sec I? Mpaka mahakama itakapo thibitisha, beyond reasonable doubt, kwamba Freeman Mbowe ni mtumiaji au muuza 'unga', hizi zitabakia kuwa siasa tu!Mandela hakuwahi Kuuza unga
Baada ya kukaa Mafichoni kwa Muda mrefu Mheshimiwa Mbowe ameweza kutiwa Nguvuni mchana wa Leo na Vijana shupavu wa Jeshi la Polisi.
Mbowe alikua Kajificha Mikocheni baada ya day and night hunt waliweza kumfuma japo kumekua na upotoshaji kutoka CHADEMA unaopamba habari kuwa eti amejipeleka yeye mwenyewe.
Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.
Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.
Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.
Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA