Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Kuna kitu kinaitwa paragraph... Unakijua??

Unajua matumizi ya herufi kubwa kwenye uandishi???

Haya rekebisha huu upup.u ulioandika ili wengine tukuelewe. Nadhani watakaokuelewa hapa ni wale rafiki zako mliofeli pamoja kidato cha pili.
nimekusoma mkuu ila nlichofanya ni kurusha jiwe gizani kama limekupiga ww pole
 
Watanzania ni waoga na kamwe hawataweza kupambana na watawala wajinga. Watanzania ni watu wa kuonewa, kutukanwa, kunyanyaswa na kufanyiwa ujinga wa aina yeyote na wasifanye lolote. Rejea Ulimboka, Mwangosi, sasa kamata kamata ya kijinga inayoendelea. Hakuna Mtanzania ataweza jitetea ila tutaishia kuropoka kwenye media kisha tutakaa kimya huku matahira yakipewa ukuu wa mikoa na kutunyea.
 
Watanzania ni waoga na kamwe hawataweza kufanya kupambana na ujinga wa watawala. Watanzania ni watu wa kuonewa, kutukanwa, kunyanyaswa na kufanyiwa ujinga wa aina yeyote na wasifanye lolote. Rejea Ulimboka, Mwangosi, sasa kamata kamata ya kijinga inayoendelea. Hakuna Mtanzania ataweza jitetea ila tutaishia kuropoka kwenye media kisha tutakaa kimya huku matahira yakipewa ukuu wa mikoa na kutunyea.
Ww ni Mtz kweliii....
Tuacheni jamani na Tz yetuu...
Wakoloni hawakuwa wajinga kutupa uhuru kwa maelewano bila kumwaga Damu jamani...
 
heri kukamatwa kuliko angejidhalilisha kwenda mwenyewe
 
Kama Kiongozi Mkuu, hiyo ilikuwa nafasi yake, ya kipekee, kuonesha jinsi anavyoheshimu na kutii sheria bila shurti, hata kama imetumika vibaya.

Kwa kukaidi, katoa funzo kwa watu kama wewe UKAIDI wa kipumbavu.

Kwa kuwa ni kiongozi, dharau aliyoionesha, kwa kukaidi wito, na kejeli kwenye vyombo vya habari, ni dhahiri amesukumwa na nguvu nje ya ubinadamu na utu.

Mkubali tu ni kiongozi mwenye shari, kiburi na wakuja tu, huyo Mkuu wenu.

Usiandike kwa kutanguliza hisia ,mswali niliyo yauliza hapo juu haujajibu hata moja.

Mnapokiuka Utartibu tulio jiwekea kama Nchi hasa huu wa kugawa haki kwa kila Raia ,hizo ni virugu..Acheni vurugu ..
 
Huyu jamaa muongo sana mbowe hajakamatwa ila amejisalimisha mwenyewe kituo cha police. Source channel 10 habari ya saa 1:00
 
Watanzania ni waoga na kamwe hawataweza kufanya kupambana na ujinga wa watawala. Watanzania ni watu wa kuonewa, kutukanwa, kunyanyaswa na kufanyiwa ujinga wa aina yeyote na wasifanye lolote. Rejea Ulimboka, Mwangosi, sasa kamata kamata ya kijinga inayoendelea. Hakuna Mtanzania ataweza jitetea ila tutaishia kuropoka kwenye media kisha tutakaa kimya huku matahira yakipewa ukuu wa mikoa na kutunyea.
Hakuna Watanzania wajinga kama viongozi wa siasa wa vyama vya upinzani. Wanaendesha siasa kama mashuleni na vyuoni. Huko wanafunzi na wanachuo hudanganyana na wengine hufuata mkumbo tu, bila kufikiri.

Mh Mbowe anakubali kudanganywa na wenzake asitii wito wa Polisi, huyo ni Kiongozi wa kuaminika kweli. Akiulizwa kwa nini hakufika inavyotakiwa, siamini atajibu kwamba Mwanasheria wao ndiye kamshauri!! Vipi kama hao hao washauri wanamtia hatiani, ili wamwondoe madarakani kiaina!!
 
mboe ndio nani?
Huyo aliyeandika ni mwongo mbowe hakuna central na gari LA police wala gari lake halikuwa linasindikizwa na police alijisalimisha mwenyewe nilikuwepo Jirani pale na gari lake halikukawia liliondoka hivyo rekebisha sentensi ya kukamatwa
 
Shida nini?? Si angeenda tu tangia mwanzo? Mtu mkubwa kama hivo katika jamii anaogopa polisi? What a shame!
 
Mbowe central leo
 

Attachments

  • IMG-20170220-WA0028.jpg
    IMG-20170220-WA0028.jpg
    34.6 KB · Views: 23
Keshamaliza kuhojiwa na kutoka, au ndo analala huko?
 
Back
Top Bottom