Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Moja ya issue fake duniani pote na dalili ya serikali yenye hofu ni kukamata viongozi wa upinzani. Hayo tulikua tunayashuhudia kwenye mataifa mengine. Sasa leo tunayaona kwetu. Hakika mwenye akili anajua sasa tunakosa mwelekeo kabisaaaaa.
 
Kuna jamaa moja sijui ni mwandishi ni kama Liziboni wa #Jf na wakati anajiita kamanda wa Chadema lakini haeleweki kama waganga njaa wa ccm
 
Mbowe yupo dsm tangu miaka ya themanini wakati huo makonder yupo isupyilo kijijini anachunga mbuzi halafu utegemee awe na akili ya kumzidi mbowe? Kuna watoto wa mjini na wale waliokuja mjini kutafuta maisha tumewapokea pale ubungo na mafurushi yao, na watarudi na kutuacha na mishe zetu, pole sana Mh Mbowe Aikael Freeman
 
makamanda wa wapi nae huyu anazungumzia,nyie wote kuanzia mwenye chama mtei mpk nyie vibaraka mnapigania matumbo yenu tu,chama pinzani kupewa nyie wanywa mbege mi sikubali hata kidogo,makamanda kina Mnyika wametulia tuli toka mmeuza chama kwa lowassa,endeleeni kutapatapa na safari hii mnalo,magu hacheki na nyoka

Naona kwa aibu mnakuja kivingine.Haya furaha imeishia hewani au hukumalizahata Masogange mmoja tayari chini.Pole Kada wa CCM.
 
Mie nakereka balaaa

Watu kwann.mnaimani na chadema na ccm

Haya yote ni sumu

Hakuna.sumu iliyo na unafuu,watz wanateseka huko msumbiji na hapa nchini bado hali tete watu mnakazana na.uji.ga

Mnafurahia mtu anaepangua hoja za.magu na.bila kujali watz tunao tesela kila.kona


Nchi ishapotezana serikali haijatambui na upinzan nao.hawaeleweki wananchi ambao ni.maboss hawajui.wajibu wao


Mnashabikia.vitu vidogo sana na.kuwapa.moyo

Kwann tusikusanye kesho kuwakumbusha.serikali kwamba kuna ndugu zetu wanateseka msumbiji

Huyo mbowe yupo tuu
Weka space vituo Vya nini?
 
Ujin.ga nao ni kipaji. Mtu unamtuhumu anajihusisha na madawa ya kulevya. Unautangazia umma kwamba mtu huyu anahitajika Polisi kwaajili ya mahojiano na Polisi kuhusu kujihusisha kwake na biashara ya madawa ya kulevya.

Baada ya wiki 2 mtu huyu anakwenda Polisi kwaajili ya mahojiano. Baada ya mahojiano Polisi na huyo mtuhumiwa wanakwenda nyumbani kwaajili ya upekuzi.

Polisi kwa Ujin.ga waliojaliwa wanatumainI baada ya mda huo wote na sarakasi hizo eti watakuwa exhibits chochote ambacho kitamu link mtu huyo na madawa ya kulevya.

Kama huo sio Ujin. ga wa karne basi utakuwa uju.ha wa milennium. Sijawahi kuona watu waliokosa uweledi wa kazi yao kama hawa. Inabidi tuwaingize kwa Guineas World records of stupidity!
Nimekuelewa sana tu
 
Atacheka tu. Sembuse yeye hataTrump atacheka. Wanadhani wao ndio watawala wanasahau kuwa waajiri wao ni wananchi na siyo wao. Ngoja tuwaonyeshe.
 
Binafsi naona kama haijakaa sawa.huyu ni kiongozi mkubwa wa upinzani hapa TZ.anadhalilishwa namna hii,na itakuwaje endapo watagundua tuhuma za kuhusika kwake na madawa ya kulevya si za kweli?mtakua mmempotezea muda,mmeharibu jina lake kwenye jamii,na tena mmemdhalilisha.haipendezi kabisa.tuliichagua na kuiamini serikali iliyoko madarakani ili kutuletea maendeleo,kushughulika na kero za wananchi,wala sio kufanya haya yanayoendelea.ukweli ni kwamba kama haya yataendelea basi 2020 ccm mtapata kura za mapunguani tu.hakuna mtu atawachagua tena.tuleteeni maendeleo tumechoka na haya mnayoyafanya mnapoteza muda tu!
 
Wamegundua maufuku ya sgughuli za kisiasa kwa wapinzani haijazaa matunda tarajiwa na 2020 sio mbali huku Lowasa akiwa na afya yake.
Ufisadi hauwezi kuwa sababu kwake kwa kwa umma umeona mbwembwe za kuanzishwa kwa mahakama kwa ajili ya maonesho ya sabasabba na sio kesj za ufisadi

Kilichobaki ni kuwatesa na kuharibu haiba za wote walioshirikiana na Lowasa 2015

Kuna umuhimu wa kuwapima wagkmbea urais wa nchi yetu afya ya akili kabla ya kuendelea na michakato ya vyama kuteuliwa na madaktari waweke wazi matokeo na ukweli kuhusu afya ya akili ya kila mgmbea ili yasijetokea kama ilivyo kwa Trump USA
 
Kama kweli wapo serious na hii vita, basi Mbowe alipaswa ahojiwe na Kamisheni ya Madawa ya Kulevya kwa Kamishna Sianga na sio popote pale...

Lakini kwa sababu ni maigizo na mzaha wamelazimisha aende kwa Siro ili wasionekane hawajamshindwa Mbowe.

Na hivi sasa mpo kwenye operesheni ya kuhakikisha kashfa ya majina vya RC inakufa, kila kitu mnakifanya kwa lengo la kutusahaulisha hii kashfa.
 
Ni vizuri amejibu maswali, kuliko alivyokuwa anaogopa kufika kituo cha polisi. Ila kwa kukamatwa amesikitisha kama kiongozi.

Mandela alikamatwa kwa style gani? Alisikitisha kama kiongozi? Unataka watu wote waline up kuvunja sheria? Uongozi ni ushereheshaji?

Unadhani vita ni kama upambe wa sendoff and ngoma ya kisingeli.
 
Kama ilikuwa operesheni ya kweli wasingetangaza tu watu kabla ya kusearch.
WLijua Mbowe ni clean lakimi kwa kutaka kumaibisha basi inabidi wamtangaze na kumpeleka polisi. Ndiyo fikra ya Magu na mwanaye Konda zinawaambia kuwa sasa wamehitimisha walichokuwa wamepanga. Wakidhani ndiyo itakuwa mwisho wa chadema
 
Back
Top Bottom