barnabas masoko
JF-Expert Member
- Aug 8, 2016
- 1,298
- 659
Yana mwisho chuki imeenea sana nchini maendeleo hakuna wanashughulikia wapinzani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana. Hakuna aliye juu ya Sheria. Awamu hii siyo ya kuogopa MTU.Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.
Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.
Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.
Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA
=====
UPDATES:
Apekuliwa nyumbani, arejeshwa Central...
Aachiwa:
Tundu kawa mtetezI wa ujinga
Tundu kawa mtetezI wa ujinga
Good NEWS
***Pole mkuu naona umenena kwa hisia kali sana!kibaba unachowapimia wenzako na wewe utapimiwa hichohicho!
Mimi naona wewe ndiye mjinga kuusapoti u DICTATOR na lazima ukugeukie wewe.Tundu kawa mtetezI wa ujinga
Kwa hiyo hizo nyaraka ndio vielelezo vya madawa ya kulevya? Hii ni aibu ya mwaka kwa watawala hawa waliopo. JK na wastaafu wengine toeni semina elekezi jinsi ya kurun nchi