Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Hivi wakuu sheria inasemaje unapomtukana mkuu wa mkoa?
 
Hivi wakuu sheria inasemaje unapomtukana mkuu wa mkoa?
 
Je unajua kuwa anajihusisha na hiyo biashara?
Mimi siitaji kujua kama anajiusisha au la. Nacho ongelea hapa ni kwamba serikali hisionee watu pasipo ushaidi. Kama amekamatwa akijiusisha na biashara hiyo pamoja na evidence, itakuwa sawa anastaili kushughulikiwa kisheria.

Kama alivyosema Magu, kwamba mtu anakamatwa na ushaidi tosha wa pembe za ndovu lakini polisi wanadai bado wanafanya uchunguzi! Uchunguzi gani wakati kidhibiti kiko? Kwahiyo kama kidhibiti kipo cha Wema kujiusisha na unga ni sawa kushughulikiwa.

Na kama hamna kidhibiti basi aachiwe maana itakuwa ni uonevu tu, eti kwa sababu Mkuu kamtamtaja, basi anamakosa!
 

mkuu mbona unarudia kilichosemwa na Wema ambacho wote tumekisikia wenye audio yake?

weka maoni yako juu ya hayo maneno.
 
Mange atamponza Wema yeye yuko mbali huko mwenzie yupo lupango atapotakiwa kuthibitisha hayo itakuwa ni kesi nyingine
 
Kwa lugha rahisi ni kama wema ameshamtaja mmoja tayari(kwamba agnes ni mmoja wao nayeye akamatwe)
 
Aise ...kwaio atamtaja kwel na mzigo amempa
 

Naona biashara yenu imeguswa,mnatapatapa sasa. Wengitakiwa kunyongwa kabisa.
 
Alikuwa anapiga umbea na Team Wema!

Walienda kumtembelea ndo akawa anaropoka hivyo..

Na hizo audio aliyezipata wa kwanza kazinunua laki moja IG..

Wema hana rafiki japo yy anapenda marafiki...
Aisee hii ni hatari!!!
Nimeisikia vizuri clip hiyo,kunamtu alikuwa akirecord huo umbeya nadhani ni marafiki zake wakaribu!

Unajua hata watu waovu/Majambazi huwa hawapendi marafiki WANAFIKI! Bora ukose Rafiki lakini sikuwa na marafiki wanafiki na kuwafahamu panahitaji juhudi kubwa sana.


"Rafiki batiri hawezi tunza siri Nyoka ndumila kuwili"
 
Anajitatiza kwa kusema mbona fulani kaachwa ina maaana kipo ukijuacho ama nawe ni mshirika aaache kukurupuka kufungwa easy sana ohhhhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…