Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Hivi wakuu sheria inasemaje unapomtukana mkuu wa mkoa?
 
Hivi wakuu sheria inasemaje unapomtukana mkuu wa mkoa?
 
Je unajua kuwa anajihusisha na hiyo biashara?
Mimi siitaji kujua kama anajiusisha au la. Nacho ongelea hapa ni kwamba serikali hisionee watu pasipo ushaidi. Kama amekamatwa akijiusisha na biashara hiyo pamoja na evidence, itakuwa sawa anastaili kushughulikiwa kisheria.

Kama alivyosema Magu, kwamba mtu anakamatwa na ushaidi tosha wa pembe za ndovu lakini polisi wanadai bado wanafanya uchunguzi! Uchunguzi gani wakati kidhibiti kiko? Kwahiyo kama kidhibiti kipo cha Wema kujiusisha na unga ni sawa kushughulikiwa.

Na kama hamna kidhibiti basi aachiwe maana itakuwa ni uonevu tu, eti kwa sababu Mkuu kamtamtaja, basi anamakosa!
 
wema ameeleza hali halisi.
makonda analazimisha ushahidi kwa kulazimisha sijui nani petit kwa bastola na kipigo ili amseme wema.
hii uadio haina kosa lolote zaidi ya jamii kumjuu makonda na nia yake mbovu. wema anasema wao wamehojia na kusachiwa nyumbani kwao hawajapata chochote na makonda kakasirika sana . sasa bado mnamuona makonda ana nia nzuri ?
pia wema anasema wale wazungu wa mahoteli na Dragon na mediterenian wameachiwa baada kuja makonda kuwahoji...jee mnajua maana yake nini ? hapa wema ametoa ushahidi kuwa makonda kacheza na hela...hili suala kama shisha....unapiga kibano kutoza kodi.....msikilizeni vizuri...

mkuu mbona unarudia kilichosemwa na Wema ambacho wote tumekisikia wenye audio yake?

weka maoni yako juu ya hayo maneno.
 
Mange atamponza Wema yeye yuko mbali huko mwenzie yupo lupango atapotakiwa kuthibitisha hayo itakuwa ni kesi nyingine
 
Kwa lugha rahisi ni kama wema ameshamtaja mmoja tayari(kwamba agnes ni mmoja wao nayeye akamatwe)
 
Masogange alishakuwa cleared na mzigo aliokamatwa nao ilikuwa ni raw materials ambayo inatumika kutengeneza dawa za binadamu, ingawa pia inaweza kutumika kutengeneza madawa ya kulevya.

NB: Kama kweli Makonda anatoka na Masogange nampa pongezi, maana ule mzigo duh!
Aise ...kwaio atamtaja kwel na mzigo amempa
 
Mimi siitaji kujua kama anajiusisha au la. Nacho ongelea hapa ni kwamba serikali hisionee watu pasipo ushaidi. Kama amekamatwa akijiusisha na biashara hiyo pamoja na evidence, itakuwa sawa anastaili kushughulikiwa kisheria.

Kama alivyosema Magu, kwamba mtu anakamatwa na ushaidi tosha wa pembe za ndovu lakini polisi wanadai bado wanafanya uchunguzi! Uchunguzi gani wakati kidhibiti kiko? Kwahiyo kama kidhibiti kipo cha Wema kujitiisha na unga ni sawa kushughulikiwa.

Na kama hamna kidhibiti basi aachiwe maana itakuwa ni uonevu tu, eti kwa sababu Mkuu kamtamtaja, basi anamakosa!

Naona biashara yenu imeguswa,mnatapatapa sasa. Wengitakiwa kunyongwa kabisa.
 
Alikuwa anapiga umbea na Team Wema!

Walienda kumtembelea ndo akawa anaropoka hivyo..

Na hizo audio aliyezipata wa kwanza kazinunua laki moja IG..

Wema hana rafiki japo yy anapenda marafiki...
Aisee hii ni hatari!!!
Nimeisikia vizuri clip hiyo,kunamtu alikuwa akirecord huo umbeya nadhani ni marafiki zake wakaribu!

Unajua hata watu waovu/Majambazi huwa hawapendi marafiki WANAFIKI! Bora ukose Rafiki lakini sikuwa na marafiki wanafiki na kuwafahamu panahitaji juhudi kubwa sana.


"Rafiki batiri hawezi tunza siri Nyoka ndumila kuwili"
 
Anajitatiza kwa kusema mbona fulani kaachwa ina maaana kipo ukijuacho ama nawe ni mshirika aaache kukurupuka kufungwa easy sana ohhhhhh
 
Back
Top Bottom