Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Dah aisee... Ndio kwanza nimefahamu nisiyokuwa siyafahamu..!
 
Hii audio itamtokea puani wema sepetu...bora angekaa kimya tu...na hapo ajajua kuwa alikuwa recorded
Tatizo wabongo wengi ni waoga sana sasa itamtokea puani kwan katukana? Mbona kasema yamoyoni .kuweni wajasili
 
Anazidi kusaidia polisi tu. Alijuaje Masogange anauza madawa ya kulevya Kama hajihusishi na hiyo biashara. Halafu hii audio itazidi kummaliza. Wanasemaga mdomo huponza kichwa.
Ilo jibu mbona lipo wazi amejuaje vyombo vya habari sivilimtangaza uyo Agnes amekamatwa na poda south kilakitu kipowazi paka aliyemtuma anajulikana wala sio siri hao wakina wema wanaonewa tu
 
Mzee wa udaku
 
Ndugu yangu warumi, kesi ikiwa polisi unaruhusiwa kuingilia isipokuwa mahakamani ndiyo hurusiwi.
 
Ila kweli masogange hayupo kwenye hii kadhia pamoja na kushikwa nyakati fulani airpot na madawa lakini hayupo,aliyosema wema yatakua na ukweli,atakua anatembea na masogange huyu makonda,aache kuonea watu,haki ifuate mkondo wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…