Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Sasa kutembea na mwanamke hyo ni mbinu tu ya upelelezi na kupata habar
wema naye sasa maji ya shingo!
 
Aisee tushasahau matokeo ya form four na dsm kutoa shule sita kwenye kumi za mwisho.Ilifaa Makonda aitwe ahojowe hali ya elimu kwenye mkoa wake
 
Huyu binti anafikiri anacheza movie hapo!
 
Ukiwa upo Lock up unajikuta unaongea vitu vingi sana, mkiwa na watuhumiwa wenzenu, sasa pale wamewatumbukiza na mashushu humo wanajieleza bila kujijua na ushaidi wote utapatikana wa nguvu
 
Leo ndio nimeamini huyu mwanamke anaendeshwa kwa skendo.

Hafai kuwa public figure
 
Hebu tupia audio nyingine hii inazingua mkuu
 
MAMA ONGEA NA MWANAO........wacha waisomee namba eeeh waisome namba ccm mbele kwa mbele.... Ila bongo bana ukiwa na hela kila mtu atakupenda na kukushabikia ila upate tatizo sasa kila mtu anakuwa adui yako utakayosikia huwezi kuyaamini kamwe.

Mfano mzuri juzi hapa ilisemekana kampuni ya mo dewji hailipi kodi watu walikuja juu na kufurahia eti huwa anajifanya kuidhamini simba kumbe alipi kodi wacha aisome namba, mara taarifa ikakanusha kuwa kalipa kodi watu tena wakahamia upande wake eti aishtaki tra kwa kumdhalilisha.

Yanayoendelea sasa hivi kuna mengi tutasikia na kujionea lakini at the end ukweli utajulikana.
 
Inaweza kupinduliwa akajikuta yeye wema anaenda segerea kwa Defamation akiambiwa aprove uhusiano wa Rc na masogange hana evidence zaidi ya hearsay ambayo is not admissible in court! Makonda is a married man anaweza sema skendo hiyo imeleta shida ktk ndoa na heshima yake kwa jamii! Wema akajikuta anapoteza kijinga IT NEEDS A PURE WISDOM TO DEAL WITH SOMEONE WHO HAD POWER THAN U
 
,tunampongeza Kwa kazi ya nia ya dhati kabisa kupambana na janga hili limalizalo vijana kuliko HIV.Pia tunamuomba apambane na janga La viroba pia ni shida zaid ya madawa.
Nimekuelewa mara 2 ha ha ha!
 
nadhani bado hamna njia nzuri ya kupambana na madawa
 
Bakizeni maneno-mimi naomba mahakama zetu ziwe na weledi ili kama kuna hukumu ziwe za haki. Maneno ya Wema yana tafsiri nyingi labda kwa wale wanaomfahamu vizuri lakini wengi humu ni hisia tu. Kuna maneno ameyasema yanaweza yasiwe mazuri lakini hayo si ushahidi kwamba anahusika au hahusiki-na ndio maana tunatakiwa kufuata mchakato wa sheria (weledi na maadili).
 
Hata mgeuze story vipi daima Mh. Makonda sitamsahau kwa ujasiri na uzalendo aliouonyesha. Huyo Wema alitaka apagishiwe Yeye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…