Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa upo Lock up unajikuta unaongea vitu vingi sana, mkiwa na watuhumiwa wenzenu, sasa pale wamewatumbukiza na mashushu humo wanajieleza bila kujijua na ushaidi wote utapatikana wa nguvuUkikaa huko ndani ndio utajua. Másela hupiga story za kujiachia na matatizo yaliyokufikisha humo blah blah nyingi mara kupeana pole na kuhukumiana humo humo, utasikia mchizi wa pembeni yako anakuelezea inshu iliyomfikisha cell nawewe anakushawishi unamgei yako anakupa moyo kumbe pandikizi la mwana tu mnalala nae kwenye sakafu ila yeye yuko kazini
nimefurahi sana maana anajiongezea kesi juu ya kesi,anamtukana mkuu wa mkoa? hajui kuwa anamtukana pia raisi,muache apumzike jela tu.
======
Sakata la Madawa ya Kulevya limechukua sura mpya kufuatia mwanadada mashuhuri Wema Sepetu, ambaye ni mmoja wa watuhumiwa, kutoa ya moyoni juu ya sakata zima la kukamatwa kwao na kuhusisha tukio hilo na hila dhidi yake.
Pamoja na mambo mengine, Wema amedai kwamba RC Paul Makonda anatembea na Agnes Masogange na amempangia nyumba Makongo ndio maana hajakamatwa ktk kadhia ya Dawa za Kulevya.
Operesheni ya kukamata wanaojihusisha na madawa ya kulevya ilianzishwa na Paul Makonda mwishoni mwa wiki iliyopita, ambapo alitaja majina ya watu mbalimbali wanaohitajika kituoni kwa ajili ya mahojiano, wakiwemo wasanii na maaskari polisi.
=====
Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda Simon Sirro amesema kuwa mpaka sasa Jeshi la Polisi linawashikilia watuhumiwa wa Dawa za Kulevya 112 na jumla ya kete 299 huku 12 kati yao wakifikishwa Mahakamani.
Kwa taarifa hii soma > Makonda: Watuhumiwa madawa ya kulevya kuanza kupandishwa kizimbani leo au kesho
Nimekuelewa mara 2 ha ha ha!,tunampongeza Kwa kazi ya nia ya dhati kabisa kupambana na janga hili limalizalo vijana kuliko HIV.Pia tunamuomba apambane na janga La viroba pia ni shida zaid ya madawa.
SureUkiwa upo Lock up unajikuta unaongea vitu vingi sana, mkiwa na watuhumiwa wenzenu, sasa pale wamewatumbukiza na mashushu humo wanajieleza bila kujijua na ushaidi wote utapatikana wa nguvu
Nae anauza ngada?Nataman n8sikie mange kadakwa
nadhani bado hamna njia nzuri ya kupambana na madawa
======
Sakata la Madawa ya Kulevya limechukua sura mpya kufuatia mwanadada mashuhuri Wema Sepetu, ambaye ni mmoja wa watuhumiwa, kutoa ya moyoni juu ya sakata zima la kukamatwa kwao na kuhusisha tukio hilo na hila dhidi yake.
Pamoja na mambo mengine, Wema amedai kwamba RC Paul Makonda anatembea na Agnes Masogange na amempangia nyumba Makongo ndio maana hajakamatwa ktk kadhia ya Dawa za Kulevya.
Operesheni ya kukamata wanaojihusisha na madawa ya kulevya ilianzishwa na Paul Makonda mwishoni mwa wiki iliyopita, ambapo alitaja majina ya watu mbalimbali wanaohitajika kituoni kwa ajili ya mahojiano, wakiwemo wasanii na maaskari polisi.
=====
Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda Simon Sirro amesema kuwa mpaka sasa Jeshi la Polisi linawashikilia watuhumiwa wa Dawa za Kulevya 112 na jumla ya kete 299 huku 12 kati yao wakifikishwa Mahakamani.
Kwa taarifa hii soma > Makonda: Watuhumiwa madawa ya kulevya kuanza kupandishwa kizimbani leo au kesho
Lete ujinga nifanye upumbavuwacha iwe mbaya mwaga ugali nimwage mboga
Koleo tuliite koleo na sio kijiko kikubwaAnge solve vip?? Wazungu wana msemo wao mmoja unasema"call spade a spade " maana yake mwizi muite mwizi... usimuite kibaka wakati kaiba