Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Huyo mange ndo anamuaribia wema,bora hata wakina kajala wanavyokaa kimya,kesi ikishakua polisi ni mwiko kuingilia
Binamu mambo ya sheria ni magumu sana unadhani makonda alikurupuka? Na mateja zaidi ya 100 na wale wauzaji wanawataja hao kua ndio huwaletea unga, kumbuka makonda ana RCO, Ana RSO na kamati ya ulinzi na usalama iko chini yake .
 
Wale TISS ambae kazi yao ni kula bata club hadi club na wakati mwingine hujifanya ni wakenya au wauza madawa unadhani hawana taarifa za kila mmoja?
Kila kona pana nuka rushwa mkuu hata kama wana sufficient Information, Jiulize vinara walio nyuma hii biashara wanaweza kupambana hapa mtu pekee ambae akitie mkazo haswa unaweza leta mabadiliko ni sponsor mwenyewe J
 
Back
Top Bottom