Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Everybody is having fun but we. Wema just call my name and I will be there.
 
Atatulizwa tu
 

- Bongo bwana raha sana hahahahahaha Masongange anatembea na RC mpaka kampangia nyumba hahahaha

le Mutuz
 
Hakiyamungu Kuchanganyikiwa kubaya,badala ya kutafakari jinsi ya kujinasua anaanza ujinga,sisi hatutaki kujua love affairs za watu,makonda ni binadamu he can bang whoever he wishes to bang,kama masogange anatumia amtaje akakamatwe,kwani makonda anakamata watu?si ni askari?awataje wote kama masogange yupo,amehojiwa na makonda au polisi?taja mama we taja tu usiwe na huruma.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duuhhh!Ila wema naona km kaamua kujilipua kama mbwai na iwe mbwai!
 
Binamu mambo ya sheria ni magumu sana unadhani makonda alikurupuka? Na mateja zaidi ya 100 na wale wauzaji wanawataja hao kua ndio huwaletea unga, kumbuka makonda ana RCO, Ana RSO na kamati ya ulinzi na usalama iko chini yake .
Hiki kitu ndio watu wanafikiria kuwa jamaa wamekurupuka,....thy are so smart na hii vita wanajua wanaipigana na nani....kwa msomi na mtaalamu kama sirro hawezi kuanzisha vita na adui asiyemfahamu....wema hata kama hahusiki direct na hajui chochote kuna mtu karibu yake anajua...tusubiri baada ya saa 72 hivi baada ya tamko la mheshimiwa
 
Sisi hatuhitaji kujua nani anatembea na nani, kubwa ni nani anahusika na madawa ya julevya, na kama huyo masogange naye anahusika na utumiaji au uuzaji a mdawa ya kulevya, basi mkuu wa mkoa nae anatakiwa mauite kama alivyowaita wengine, na kama hatafanya hivyo wakati pengine ana ushahidi basi tutajua ya kuwa zoezi hili ni la kisasi
 
Hii muvi ndo habari ya mjini imekuja wakati muafaka isingekuwepo wa mikoani mngetusema sana mkoa wetu kushika mkia matokeo kidato cha nne ,lkn imekuja mahala pake ndo hbr ya mjini.Tukimaliza La madawa,tuingie LA viroba,tukimaliza viroba tuingie LA kuwataja wezi,majambazi na vibaka maarufu watukoseshao amani ili tuwe huru km Rwanda usiku unatembea Bila hofu,kule jamii huwataja kisha wanapotezwa kimya kimya ndo maana ni nadra sana kusikia matukio ya uharifu sababu ya ishirikiano ktk ya wananchi na serikali. Tuunge mkono mapambano vijana wanaangamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…