simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Everybody is having fun but we. Wema just call my name and I will be there.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atatulizwa tuMmh naona mambo yanazidi kuwa mazito baada ya audio clip ya wema kuvuja akimkashifu mh paul makonda alipokua kituoni,jambo lililonisikitisha ni kumuita muheshimiwa m*t*k* kweli is it fair? yule ni kiongozi tumbukeni jamani naona tunamchezea kama mpira, wema anajiingiza kwenye matatizo mazito sana na serikali, akumbuke kuwa hagombani na makonda anagombana na serikali ya CCM awamu ya tano,sasa sijui kama vita yake ataiweza.
Haya turudi kwenye ubuyu,kumbe makoo anatoka na msambwinungwa? duh na kapangiwa nyumba makongo,mmmh haya mapya aiseeh duh hii ni nomaaa
======
Sakata la Madawa ya Kulevya limechukua sura mpya kufuatia mwanadada mashuhuri Wema Sepetu, ambaye ni mmoja wa watuhumiwa, kutoa ya moyoni juu ya sakata zima la kukamatwa kwao na kuhusisha tukio hilo na hila dhidi yake.
Pamoja na mambo mengine, Wema amedai kwamba RC Paul Makonda anatembea na Agnes Masogange na amempangia nyumba Makongo ndio maana hajakamatwa ktk kadhia ya Dawa za Kulevya.
Operesheni ya kukamata wanaojihusisha na madawa ya kulevya ilianzishwa na Paul Makonda mwishoni mwa wiki iliyopita, ambapo alitaja majina ya watu mbalimbali wanaohitajika kituoni kwa ajili ya mahojiano, wakiwemo wasanii na maaskari polisi.
=====
Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda Simon Sirro amesema kuwa mpaka sasa Jeshi la Polisi linawashikilia watuhumiwa wa Dawa za Kulevya 112 na jumla ya kete 299 huku 12 kati yao wakifikishwa Mahakamani.
Kwa taarifa hii soma > Makonda: Watuhumiwa madawa ya kulevya kuanza kupandishwa kizimbani leo au kesho
Du!!Kama ni kweli bosi asimtaje kabisa manake masogange akienda haja kubwa selo na lile zigo na vle maji ya shida patanuka sanaaa
wanadai eti le akili kubwazzz ndo ulikuwa kuwadizzzz- Bongo bwana raha sana hahahahahaha Masongange anatembea na RC mpaka kampangia nyumba hahahaha
le Mutuz
======
Sakata la Madawa ya Kulevya limechukua sura mpya kufuatia mwanadada mashuhuri Wema Sepetu, ambaye ni mmoja wa watuhumiwa, kutoa ya moyoni juu ya sakata zima la kukamatwa kwao na kuhusisha tukio hilo na hila dhidi yake.
Pamoja na mambo mengine, Wema amedai kwamba RC Paul Makonda anatembea na Agnes Masogange na amempangia nyumba Makongo ndio maana hajakamatwa ktk kadhia ya Dawa za Kulevya.
Operesheni ya kukamata wanaojihusisha na madawa ya kulevya ilianzishwa na Paul Makonda mwishoni mwa wiki iliyopita, ambapo alitaja majina ya watu mbalimbali wanaohitajika kituoni kwa ajili ya mahojiano, wakiwemo wasanii na maaskari polisi.
=====
Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda Simon Sirro amesema kuwa mpaka sasa Jeshi la Polisi linawashikilia watuhumiwa wa Dawa za Kulevya 112 na jumla ya kete 299 huku 12 kati yao wakifikishwa Mahakamani.
Kwa taarifa hii soma > Makonda: Watuhumiwa madawa ya kulevya kuanza kupandishwa kizimbani leo au kesho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duuhhh!Ila wema naona km kaamua kujilipua kama mbwai na iwe mbwai!Mmh naona mambo yanazidi kuwa mazito baada ya audio clip ya wema kuvuja akimkashifu mh paul makonda alipokua kituoni,jambo lililonisikitisha ni kumuita muheshimiwa m*t*k* kweli is it fair? yule ni kiongozi tumbukeni jamani naona tunamchezea kama mpira, wema anajiingiza kwenye matatizo mazito sana na serikali, akumbuke kuwa hagombani na makonda anagombana na serikali ya CCM awamu ya tano,sasa sijui kama vita yake ataiweza.
Haya turudi kwenye ubuyu,kumbe makoo anatoka na msambwinungwa? duh na kapangiwa nyumba makongo,mmmh haya mapya aiseeh duh hii ni nomaaa
Hiki kitu ndio watu wanafikiria kuwa jamaa wamekurupuka,....thy are so smart na hii vita wanajua wanaipigana na nani....kwa msomi na mtaalamu kama sirro hawezi kuanzisha vita na adui asiyemfahamu....wema hata kama hahusiki direct na hajui chochote kuna mtu karibu yake anajua...tusubiri baada ya saa 72 hivi baada ya tamko la mheshimiwaBinamu mambo ya sheria ni magumu sana unadhani makonda alikurupuka? Na mateja zaidi ya 100 na wale wauzaji wanawataja hao kua ndio huwaletea unga, kumbuka makonda ana RCO, Ana RSO na kamati ya ulinzi na usalama iko chini yake .
Tatizo tukiachwa tunajiona wajuaji..kumbe tunatazamwa tu.Watu tunajifurahisha kwa mfumo wa kiintelijensia wa taifa letu kila mmoja anafahamika anachofanya sema wanakua wameamua kukuacha tu
wanadai eti le akili kubwazzz ndo ulikuwa kuwadizzzz
hahaaa le rafikiako kaambiwa ana limchepukozi- Bongo bwana raha sana hahahahahaha Masongange anatembea na RC mpaka kampangia nyumba hahahaha
le Mutuz
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] uwaziriHee kumbe anataka uwaziri?? eti anamla..,