Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Kwenda kule sasa km Agnes anatoa utam kwa makonda ndo nn? Au ulitaka ww ndio uwe masogange? wewe jipannge kusema dawa unapata wapi na km ni kuuza useme unaowauzia sio kuleta visingizio vya uongo hapa. Huna llt wivu tu kwa mwenzio maana umezoe kl kizuri kiwe chako kwendaaaaa
 
Ww huelew unachozungumza si kila jambo lazima kuchangia mambo mengine kama huna uelewa wa maswala fulan kaa kimya tu.
 
Mkuu hawa wanawake (Mange na Wema) sio size yako.
 
Polisi alikamata watu watatu na akahisi kuwa mmoja kati ya hao watu watatu alikuwa ni mvutaji bangi lakini hakujua ni yupi. basi akaamua kuwauliza maswali ili amtambue mvutaji bangi. basi akamuuliza wa kwanza kati ya chelsea na arsenal nani ameshinda? Akajibu chelsea.
Akamuuliza wa pili kati ya waislamu na makafiri nani alishinda vita vya badr? Akajibu waislamu.
Akamuuliza watatu jee umefahamu nini kati ya hayo maswali mawili ? Akajibu CHELSEA na WAISLAMU watakutana fainali.
 
Angepewa tu na kesi nyingine,,,uwezi kumdhlilisha Kiongozi kisa we ni drug dealer
 
Sana...

Ila achana na masogange... ile ya wenye hoteli kiachiwa na "boss"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mjini patamu haki ya mama tena

looohh!wema kajua kubreki intaneti
 
sidhani kama alijua kuwa anarekodiwa.....inawezekana alikuwa na watu wake wa karibu akajiachia kumbe wenzie wanamrekodi
Anafikiri watu wamelala hajui hata hao wanaompa kichwa kwenye sauti pembeni ndio wamemponza nasikia mzee kashaipata Audio sasa sijajua what next [HASHTAG]#hiinchisioyamchezomchezo[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…