Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Kwenda kule sasa km Agnes anatoa utam kwa makonda ndo nn? Au ulitaka ww ndio uwe masogange? wewe jipannge kusema dawa unapata wapi na km ni kuuza useme unaowauzia sio kuleta visingizio vya uongo hapa. Huna llt wivu tu kwa mwenzio maana umezoe kl kizuri kiwe chako kwendaaaaa
 
Bila kuogopa wala kuficha maneno waliokamatwa wote ni uonez kwasababu(1) hawana ushahidi wa moja kwa moja(2)watumaiaji waliokamatwa ni end user na hawajui hata wanaowauzia wanautoa wapiji(3)kauli ya wema sepetu inaitaji kuchunguzwa tujue ukwer masogange vipiiiiiii
Ww huelew unachozungumza si kila jambo lazima kuchangia mambo mengine kama huna uelewa wa maswala fulan kaa kimya tu.
 
Wema ni mwanamke mzuri lakini Mungu kamnyima akili (uwezo binafsi wa kufikiri na kupambanua mambo)
Ishu hii ni kubwa inatazamwa na watu wengi hakutakiwa kuongea lolote wala kumkashifu mtu, alafu yule mange kimambi wa Instagram nae anamponza Wema sana
Mambo anayoongea yamejaa ujinga mwingi sio rafiki mzuri kwa Wema
Mkuu hawa wanawake (Mange na Wema) sio size yako.
 
Polisi alikamata watu watatu na akahisi kuwa mmoja kati ya hao watu watatu alikuwa ni mvutaji bangi lakini hakujua ni yupi. basi akaamua kuwauliza maswali ili amtambue mvutaji bangi. basi akamuuliza wa kwanza kati ya chelsea na arsenal nani ameshinda? Akajibu chelsea.
Akamuuliza wa pili kati ya waislamu na makafiri nani alishinda vita vya badr? Akajibu waislamu.
Akamuuliza watatu jee umefahamu nini kati ya hayo maswali mawili ? Akajibu CHELSEA na WAISLAMU watakutana fainali.
 
Angepewa tu na kesi nyingine,,,uwezi kumdhlilisha Kiongozi kisa we ni drug dealer
 
Le ga dem mtakozy hahahahaa... u know Masogange

- Huu ni Mwaka wa Mafuraha furaha sana U know tunakura maisha tu U know and I lov it

le Mutuz
IMG_20170102_161619.jpg
 
sidhani kama alijua kuwa anarekodiwa.....inawezekana alikuwa na watu wake wa karibu akajiachia kumbe wenzie wanamrekodi
Anafikiri watu wamelala hajui hata hao wanaompa kichwa kwenye sauti pembeni ndio wamemponza nasikia mzee kashaipata Audio sasa sijajua what next [HASHTAG]#hiinchisioyamchezomchezo[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom