Ruge Opinion
JF-Expert Member
- Mar 22, 2006
- 1,838
- 705
Kesi ni ushahidi. Kama hakuna ushahidi hizo ni shutuma tu au uonevu. Kusemwa Makonda ndiyo kashifa. Je, kama MTU amesingiziwa siyo kashfa?Kesi ndio inakua kubwa sana hapo hawezi kuchomoka kabisa.
Wasiwasi wangu ni kama vile Nape ana maslahi na Wema. Au macho yangu hayaoni vizuri, ngoja nipepese macho tena
Kabreak haswa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mjini patamu haki ya mama tena
looohh!wema kajua kubreki intaneti
Kama kaipata ni vyema atizame kwa jicho la tatu hili saga......Anafikiri watu wamelala hajui hata hao wanaompa kichwa kwenye sauti pembeni ndio wamemponza nasikia mzee kashaipata Audio sasa sijajua what next [HASHTAG]#hiinchisioyamchezomchezo[/HASHTAG]
Kwel hapo umeongea mkuu,tunampongeza Kwa kazi ya nia ya dhati kabisa kupambana na janga hili limalizalo vijana kuliko HIV.Pia tunamuomba apambane na janga La viroba pia ni shida zaid ya madawa.
Mbona hilo jibu rahis tu, we hujawahi kutanvaziwa kwenye media kua masogange kakamatwa na dawa south? Mbona n ishu ambayo ipo live??Anazidi kusaidia polisi tu. Alijuaje Masogange anauza madawa ya kulevya Kama hajihusishi na hiyo biashara. Halafu hii audio itazidi kummaliza. Wanasemaga mdomo huponza kichwa.
Namuonea HURUMA yeye c ajui kama alikuwa anarecordiwa bac ameshakanyaga waya ikimkosa single face atapigwa na three face au grade ya taifaMmh naona mambo yanazidi kuwa mazito baada ya audio clip ya wema kuvuja akimkashifu mh paul makonda alipokua kituoni,jambo lililonisikitisha ni kumuita muheshimiwa m*t*k* kweli is it fair? yule ni kiongozi tumbukeni jamani naona tunamchezea kama mpira, wema anajiingiza kwenye matatizo mazito sana na serikali, akumbuke kuwa hagombani na makonda anagombana na serikali ya CCM awamu ya tano,sasa sijui kama vita yake ataiweza.
Haya turudi kwenye ubuyu,kumbe makoo anatoka na msambwinungwa? duh na kapangiwa nyumba makongo,mmmh haya mapya aiseeh duh hii ni nomaaa
Hebu ngoja tuipe muda tutajua tu mbichi na mbivu uzuri bando na internet zipo hakuna shida labda njaa ije leo tufe wote ila mimi naona kuna kitu kikubwa kinakwenda kuwatokea watu tanzania hii na hawataamini ila all in all Tuwe wapole tutajuà Serikali na Raia ipi inaukweli.........ila audio wema imemponzaKama kaipata ni vyema atizame kwa jicho la tatu hili saga......
Kuna part wema kasema wazungu waliachiwa...kwa nini?????
Yaani i wish kungekuwa na mtu huru kushughulikia hili ili mbivu na mbichi zijulikane.......
Kama wema muuzaji/mtumiaji
Au kuna mengine
Acha kusifia ujinga ewee, smart mtu anaye tukanana na kila mtu insta? Hana adabu kabisa jimama lile!!Nop! Mange is very smart upstair that girl. You wont catch her like a sitting rabbit
Maana kwa namna flan kama vile ameshakiri tayari , hahaaaaa kanikumbusha zamani kweli enzi za shule ukidakwa ukisema tu na fulani naye yumo ila mnamkaushia basi huyo flan na wewe wote kinawawakiaKesi ndio inakua kubwa sana hapo hawezi kuchomoka kabisa.
Sasa wanawake wanaanzaje kua size yangu?Mkuu hawa wanawake (Mange na Wema) sio size yako.
kabisa kabisa yaaniKabreak haswa
Ila mie nahisi kuna jambo behind this saga...... bado haijaniingia akilini
Simon sirro Nyakoro alikosa Sapoti kutoka juu sasa watacheza Acapella(mziki bila vyombo)Ukioga kwenye dimbwi shurti unuke tope.Movie inakaribia kuwa serious