Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Kesi ndio inakua kubwa sana hapo hawezi kuchomoka kabisa.
Kesi ni ushahidi. Kama hakuna ushahidi hizo ni shutuma tu au uonevu. Kusemwa Makonda ndiyo kashifa. Je, kama MTU amesingiziwa siyo kashfa?
 
Wasiwasi wangu ni kama vile Nape ana maslahi na Wema. Au macho yangu hayaoni vizuri, ngoja nipepese macho tena

Mimi naongelea kwenye maudhui ya aliyosema na nina underline BUSARA ITUMIKE. Sijui kama ana maslahi na Wema.
 
Yangu macho nasikilizia utamu wa hili picha
 

MH. PAUL MAKONDA

Aisee Sasa Imetosha Kama Hujawakuta Na Kitu Chochote Waachie Hao Vijana Waende Zao

Zaidi Ya Hapo Ni Kinyume Cha Haki Za Binadamu, Mmewahoji Kwa Siku Tatu Hamjapata Kitu Inatosha

Wote Hatupendi Madawa Ila Kwasababu Hukutumia Kichwa Ili Kuweza Kutomeza Na Ukakurupuka

Waache Polisi Waweke Kwenye Surveillance Yao Na Kama Ni Watumiaji Au Wauzaji Mtawakamata Tu

Kwa Sasa Najua Moyo Wako Ni Mzito Kukubali Matokeo Ila Ndiyo Hivyo Inatokea Hukujiandaa Vya Kutosha

Na Itakuwa Vyema Kama Utawaomba Na Msamaha Nitakuona Utakuwa Ni Shujaa Wa Kweli
 
Nna wasiwasi sana na watanzania na mawazo yetu... watanzania ni watu vigeu geu sana... na usipo kua na misimamo badala ya ww kuongoza bas wata kuongoza wao...
 
Anafikiri watu wamelala hajui hata hao wanaompa kichwa kwenye sauti pembeni ndio wamemponza nasikia mzee kashaipata Audio sasa sijajua what next [HASHTAG]#hiinchisioyamchezomchezo[/HASHTAG]
Kama kaipata ni vyema atizame kwa jicho la tatu hili saga......

Kuna part wema kasema wazungu waliachiwa...kwa nini?????


Yaani i wish kungekuwa na mtu huru kushughulikia hili ili mbivu na mbichi zijulikane.......

Kama wema muuzaji/mtumiaji

Au kuna mengine
 
,tunampongeza Kwa kazi ya nia ya dhati kabisa kupambana na janga hili limalizalo vijana kuliko HIV.Pia tunamuomba apambane na janga La viroba pia ni shida zaid ya madawa.
Kwel hapo umeongea mkuu
 
Anazidi kusaidia polisi tu. Alijuaje Masogange anauza madawa ya kulevya Kama hajihusishi na hiyo biashara. Halafu hii audio itazidi kummaliza. Wanasemaga mdomo huponza kichwa.
Mbona hilo jibu rahis tu, we hujawahi kutanvaziwa kwenye media kua masogange kakamatwa na dawa south? Mbona n ishu ambayo ipo live??
 
Mmh naona mambo yanazidi kuwa mazito baada ya audio clip ya wema kuvuja akimkashifu mh paul makonda alipokua kituoni,jambo lililonisikitisha ni kumuita muheshimiwa m*t*k* kweli is it fair? yule ni kiongozi tumbukeni jamani naona tunamchezea kama mpira, wema anajiingiza kwenye matatizo mazito sana na serikali, akumbuke kuwa hagombani na makonda anagombana na serikali ya CCM awamu ya tano,sasa sijui kama vita yake ataiweza.

Haya turudi kwenye ubuyu,kumbe makoo anatoka na msambwinungwa? duh na kapangiwa nyumba makongo,mmmh haya mapya aiseeh duh hii ni nomaaa
Namuonea HURUMA yeye c ajui kama alikuwa anarecordiwa bac ameshakanyaga waya ikimkosa single face atapigwa na three face au grade ya taifa
 
Kama kaipata ni vyema atizame kwa jicho la tatu hili saga......

Kuna part wema kasema wazungu waliachiwa...kwa nini?????


Yaani i wish kungekuwa na mtu huru kushughulikia hili ili mbivu na mbichi zijulikane.......

Kama wema muuzaji/mtumiaji

Au kuna mengine
Hebu ngoja tuipe muda tutajua tu mbichi na mbivu uzuri bando na internet zipo hakuna shida labda njaa ije leo tufe wote ila mimi naona kuna kitu kikubwa kinakwenda kuwatokea watu tanzania hii na hawataamini ila all in all Tuwe wapole tutajuà Serikali na Raia ipi inaukweli.........ila audio wema imemponza
 
Let me ask one thing
Kwann kwenye Yale majina masogange hayupo?
Kwani hamjui kwamba makondakta anakua like tako?
 
Kesi ndio inakua kubwa sana hapo hawezi kuchomoka kabisa.
Maana kwa namna flan kama vile ameshakiri tayari , hahaaaaa kanikumbusha zamani kweli enzi za shule ukidakwa ukisema tu na fulani naye yumo ila mnamkaushia basi huyo flan na wewe wote kinawawakia
 
Makonda anachofanya na kufanya bei ya madawa kubanda zaidi. Na watakao survive watapata faida zaidi.
 
Back
Top Bottom