Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Wemaaaa, hakuna kujinunulia zawadi tena, ni mwendo Wa kuloose focus, kujipa Kesi Mpya, mfano ile ya ngede ikiwa void inanza Mpya ya hii recording, ndipo atakapomlaani alierecord na aliesambaza,time will tell
 
Mkumbuke kuwa wenzake walikamatwa pia na labda wamemtaja.
Umemsikiliza Siro juu ya kosa la Wema na Omar aliyekutwa na Kete 3 za unga ameachiwa kwa maombi maalum, Wema amekutwa na msokoto wa bangi.
 
Basi ushaidi tiyari umekamilika kama wema mwenyew anazbitsha kwamba masogange ajatajwa maana yake wema anausika na madawa na anawajua wenzake!! Birds of the same feathers do fly together
Kwani mkuu nikisema kwamba mtu flani ni mwizi ni lazima mimi niwe mwizi au kuwajua wezi wote. Masogange ni drug dealer, au unajikuta umesahau kuwa alikamatwa South Afrika na madawa? Akamatwe na Masogange kisha aeleze aliyemtuma ni nani na alikuwa mzigo anaupeleka wapi hapa Tanzania?
 
Uzinzi c dhambi?
 
Basi ushaidi tiyari umekamilika kama wema mwenyew anazbitsha kwamba masogange ajatajwa maana yake wema anausika na madawa na anawajua wenzake!! Birds of the same feathers do fly together

1.= Ushahidi
3.= Hajatajwa
2.= Tayari
4.= Anahusika
 
Hili suala la kukamata misokoto ya bangi, lisiishie kwa akina wema tu, waende mbali zaidi kupekua hata Makazi ya viongozi wetu, maana wapo baadhi wanaovuta Banghi.
 
Hili zigo lishamfia makonda....huyo wema hana cha kupoteza mpaka.sasa mnyonge mnyongeni haki yake mpeni msipompa Mungu atawaadhibu kama waleeee wa rombo gadhabu ya Mungu inatisha!
Darasa LA ngapi unasoma? Huku kwa wakubwa sawa katotoo?
 
Nyumba ndo hii?
Wema atusaidie tafadhali.
Mh anakula chakula mbovu maana nadhani ndani ilishapwaya, imeliwa na wangi hii kambaree
 
nimefurahi sana maana anajiongezea kesi juu ya kesi,anamtukana mkuu wa mkoa? hajui kuwa anamtukana pia raisi,muache apumzike jela tu.
Bifu lako na wema lisikufanye utete upuuzi
 

Shua nachojua kama wanotumia madawa mda wote walikaa ndani wangekua na Arosto kama hakuna mtu mwenye arosto basi tunapoteza mda na kuona aibu
 

Shua nachojua kama wanotumia madawa mda wote walikaa ndani wangekua na Arosto kama hakuna mtu mwenye arosto basi tunapoteza mda na kuona aibu
 
Ni ngumu kuamini ila mange kimambi ndiye adui namba moja wa wema.Kulikua na haja gani za kuposti clip za wema mda huu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…