Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemsikiliza Siro juu ya kosa la Wema na Omar aliyekutwa na Kete 3 za unga ameachiwa kwa maombi maalum, Wema amekutwa na msokoto wa bangi.Mkumbuke kuwa wenzake walikamatwa pia na labda wamemtaja.
Kwani mkuu nikisema kwamba mtu flani ni mwizi ni lazima mimi niwe mwizi au kuwajua wezi wote. Masogange ni drug dealer, au unajikuta umesahau kuwa alikamatwa South Afrika na madawa? Akamatwe na Masogange kisha aeleze aliyemtuma ni nani na alikuwa mzigo anaupeleka wapi hapa Tanzania?Basi ushaidi tiyari umekamilika kama wema mwenyew anazbitsha kwamba masogange ajatajwa maana yake wema anausika na madawa na anawajua wenzake!! Birds of the same feathers do fly together
Uzinzi c dhambi?Nampongeza sana muheshimiwa makonda kwa hatua hii alaf natamani sana aisikie na hii audio ili moto uwe mkubwa zaidi kwa wema na huyo mwenzake anae ropoka kwenye background... Funga kabisa hawa watu wanatesa sana vijana kwa madawa.. Alaf muheshimiwa usiogope kuchukiwa na watenda dhambi wachache... Hata Yesu hakupendwa na watu wote sembuse wewe??? Funga kabisa wakaponde kokoto za reli yetu mpya ya standard gauge kama muheshimiwa jpm alivoagiza...
Basi ushaidi tiyari umekamilika kama wema mwenyew anazbitsha kwamba masogange ajatajwa maana yake wema anausika na madawa na anawajua wenzake!! Birds of the same feathers do fly together
Ina maana ata ule mkia kwasha habari?mbona yupo mda sana!!!kule soko limeisha!
Darasa LA ngapi unasoma? Huku kwa wakubwa sawa katotoo?Hili zigo lishamfia makonda....huyo wema hana cha kupoteza mpaka.sasa mnyonge mnyongeni haki yake mpeni msipompa Mungu atawaadhibu kama waleeee wa rombo gadhabu ya Mungu inatisha!
Bifu lako na wema lisikufanye utete upuuzinimefurahi sana maana anajiongezea kesi juu ya kesi,anamtukana mkuu wa mkoa? hajui kuwa anamtukana pia raisi,muache apumzike jela tu.
Movie ya game,watatizama wanangu,wakubwa tupo CHICHI sinemaView attachment 467743 wema usijal ccm wako location wanaunda movie
MH. PAUL MAKONDA
Aisee Sasa Imetosha Kama Hujawakuta Na Kitu Chochote Waachie Hao Vijana Waende Zao
Zaidi Ya Hapo Ni Kinyume Cha Haki Za Binadamu, Mmewahoji Kwa Siku Tatu Hamjapata Kitu Inatosha
Wote Hatupendi Madawa Ila Kwasababu Hukutumia Kichwa Ili Kuweza Kutomeza Na Ukakurupuka
Waache Polisi Waweke Kwenye Surveillance Yao Na Kama Ni Watumiaji Au Wauzaji Mtawakamata Tu
Kwa Sasa Najua Moyo Wako Ni Mzito Kukubali Matokeo Ila Ndiyo Hivyo Inatokea Hukujiandaa Vya Kutosha
Na Itakuwa Vyema Kama Utawaomba Na Msamaha Nitakuona Utakuwa Ni Shujaa Wa Kweli

Asichomoke kivipi?Kesi ndio inakua kubwa sana hapo hawezi kuchomoka kabisa.