Ange solve vip?? Wazungu wana msemo wao mmoja unasema"call spade a spade " maana yake mwizi muite mwizi... usimuite kibaka wakati kaibamakonda huyu hivi hana style nyingine ya kusolve matatizo. kiki kila mahali
hakuna ajuae kesho
Tuma clip hapa acha bla blaa
Jamani jamani huyu mnayemuita Wema hajui sehemu ya kukaa kimya. Ameharibu kiujumla
Binamu mambo ya sheria ni magumu sana unadhani makonda alikurupuka? Na mateja zaidi ya 100 na wale wauzaji wanawataja hao kua ndio huwaletea unga, kumbuka makonda ana RCO, Ana RSO na kamati ya ulinzi na usalama iko chini yake .Huyo mange ndo anamuaribia wema,bora hata wakina kajala wanavyokaa kimya,kesi ikishakua polisi ni mwiko kuingilia
Huyo mange ndo anamuaribia wema,bora hata wakina kajala wanavyokaa kimya,kesi ikishakua polisi ni mwiko kuingilia
Muda ni mwalimu mzuri sana hutoa majawabu sahihiDaah Wema anasema RC anakula Masogange kampangia Makongo ndiyo maana hamkamati pamoja na kukamatwa live SA.
Kila kona pana nuka rushwa mkuu hata kama wana sufficient Information, Jiulize vinara walio nyuma hii biashara wanaweza kupambana hapa mtu pekee ambae akitie mkazo haswa unaweza leta mabadiliko ni sponsor mwenyewe JWale TISS ambae kazi yao ni kula bata club hadi club na wakati mwingine hujifanya ni wakenya au wauza madawa unadhani hawana taarifa za kila mmoja?
PointiWatu tunajifurahisha kwa mfumo wa kiintelijensia wa taifa letu kila mmoja anafahamika anachofanya sema wanakua wameamua kukuacha tu