Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Hapo kwenye jina la boss sijasikia vizuri,,!! Aliyesikia anitajie hilo jina!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwan siuna mpenda
Ukipenda boga penda na ua lake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ngumu kumeza wacha nimkose tu mkuu nitapata mwingine.kesi ikiisha hamna shida nitajaribu Bahati yangu
 
Wema ni mwanamke mzuri lakini Mungu kamnyima akili (uwezo binafsi wa kufikiri na kupambanua mambo)
Ishu hii ni kubwa inatazamwa na watu wengi hakutakiwa kuongea lolote wala kumkashifu mtu, alafu yule mange kimambi wa Instagram nae anamponza Wema sana
Mambo anayoongea yamejaa ujinga mwingi sio rafiki mzuri kwa Wema
 
Unajua maana ya ushahidi?
Mi nadhani mwenyew ndo hujui, mahakamani kila point yenye mashiko inakuwa noted down kwa point hii Wema anajifunga mwenyew na anaweza saidia mahakama zaidi japo na yeye ni mtuhumiwa. Anyway nipe maana ya ushaidi mkuu.
 
Na wema akiwa na hasira anaropoka chochote(jeuri kuwa hakuna wa kumgusa)

Wema hana marafiki wazuri,alionao wote wamemgeuza dili na breaking news(habari mubashara)kwa kila akiongeacho na akifanyacho.
....teh hee hee.,penda that new avatar!
..upendo mubashara!
.umetusua 4m 4?
 
Moderator Hii audio iko full kabla ya kumerge angalia uzi ulioshiba sawa!.
wema jamani!
 
Kinachomuuma Wema sio kuwekwa ndani, yeye anaumia tu kwa nini Masogange hajatajwa? Hawa kumbe wanajuana, ngoja nile zangu popcorn.

cdddf4007c50afd4778a8450c3f63529.jpg
 
Hiyo kauli yake ameitoa kishabiki lakini inaweza kutumika kama ushahidi juu yake au yeye kutumika kama shahidi dhidi ya Masogange ikiwa nae atatajwa na kufikishwa mahakamani.
 
Back
Top Bottom