Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

we muache ajifanye staa mpaka kituo cha polisi,makonda hata awe malaya au shoga,bado ni kiongozi wetu tu heshima mbele
Hilo neno la kumi na 14 nne kutokea kushoto ni zito sana .....nadhani wauza ngada wamechomekea
 
Acheni ujinga akuna kesi hapo ni kujiumbua tu kwa chama gamba wema na domo ni wapiga kampeni wa siemu
 
Huyu mdada network yake sijui vipi. ..yaani anajitia matatizo zaidi. ...MPUMBAVU AKIKAA KIMYA HUONEKANA ANA HEKIMA
 
Ukikaa huko ndani ndio utajua. Másela hupiga story za kujiachia na matatizo yaliyokufikisha humo blah blah nyingi mara kupeana pole na kuhukumiana humo humo, utasikia mchizi wa pembeni yako anakuelezea inshu iliyomfikisha cell nawewe anakushawishi unamgei yako anakupa moyo kumbe pandikizi la mwana tu mnalala nae kwenye sakafu ila yeye yuko kazini
Aisee...

Hatari
 
Mmh naona mambo yanazidi kuwa mazito baada ya audio clip ya wema kuvuja akimkashifu mh paul makonda alipokua kituoni,jambo lililonisikitisha ni kumuita muheshimiwa m*t*k* kweli is it fair? yule ni kiongozi tumbukeni jamani naona tunamchezea kama mpira, wema anajiingiza kwenye matatizo mazito sana na serikali, akumbuke kuwa hagombani na makonda anagombana na serikali ya CCM awamu ya tano,sasa sijui kama vita yake ataiweza.

Haya turudi kwenye ubuyu,kumbe makoo anatoka na msambwinungwa? duh na kapangiwa nyumba makongo,mmmh haya mapya aiseeh duh hii ni nomaaa

Mwenye historia ya wema tafadhali aitume
 

======

Sakata la Madawa ya Kulevya limechukua sura mpya kufuatia mwanadada mashuhuri Wema Sepetu, ambaye ni mmoja wa watuhumiwa, kutoa ya moyoni juu ya sakata zima la kukamatwa kwao na kuhusisha tukio hilo na hila dhidi yake.

Pamoja na mambo mengine, Wema amedai kwamba RC Paul Makonda anatembea na Agnes Masogange na amempangia nyumba Makongo ndio maana hajakamatwa ktk kadhia ya Dawa za Kulevya.

Operesheni ya kukamata wanaojihusisha na madawa ya kulevya ilianzishwa na Paul Makonda mwishoni mwa wiki iliyopita, ambapo alitaja majina ya watu mbalimbali wanaohitajika kituoni kwa ajili ya mahojiano, wakiwemo wasanii na maaskari polisi.

**
MTAVUNJA NDOA JAMANI PUNGUZENI JAZBA...
•KWANINI MASOGANGE ASIWE MTUHUMIWA NAMBARI WANI...?/ KWANI HUYU DADA HAKUNA KIFICHO KABISA...
*YETU MACHO.
 
Back
Top Bottom