Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akae kimya ili huyo mwignine aendelee kutuumizia watoto, ametaja kama alivyotajwa.Hii audio itamtokea puani wema sepetu...bora angekaa kimya tu...na hapo ajajua kuwa alikuwa recorded
AhsanteMchanganuo wa video clip hii kwa nionavyo:-
1. Wema hajakanusha kwamba hahusiki na madawa yakulevya -moja kwa moja yuko guilty!.
2. Anategemea favor, influence ya mfumo kumweka huru. .
3. Anasema wazungu wameachiwa mbona wao ndio wamebaki, kwa hiyo anataka aachwe huru waendelee kama watakavyo.
4. Anataja na mateja wengine "Agness".
5. Nimegundua shule ni ufunguo wa maisha.
a) mtu gani mweye elimu yake japo kidogo angesema "tumesikia anataka uwaziri....". Huu si ujuhan sana? Kutaka uwaziri kwa mtu na kushindwa kujitetea kwa mtuhumiwa kuna husiana nini? Kwa hiyo aachwe tu aendelee kuua watu kwa sababu hakuna kiongozi anayeonyesha kujali? Uwaziri wa Makonda utakuja kwa kazi zake, lakini hakuna uzalendo wa mtu utathibitiska kwa kuwaogopa waharifu kwa sababu wana macho ya kutisha.
b). Sijawahi kufikiria mtu katila level hii, anaweza kuwa na akili za kitoto kwamba fulani mbona kaachwa? Akidhani kwamba kwa kuwa mwingine hajakamatwa kwa kuwa ni "mwanamke wa rc na kamjengea nyumba sijui kampangishia nyumba makongo", kutapelekea kumwondolea hatia ya mashitaka.
Nani washauri wa Wema? Mbona mnawamcha anaangamia huku mkiona? Mpeni maarifa na hekima basi japo kidogo. Au na wshauri wake ni wa kiwango cha ngono, kujionyesha na kugombana tu?
Pole kwa Watanzania wote!
Mbona mmeshindwa hadi leo kumsomesha namba...mnabakia kupigapiga kelele tu kila cku...mange kawashika pabayaSio bongo tu,huko huko watamsomesha namba muda tu haujafika.
MasogangeMsambinungwa ndio nani ?
Aise mkuu kwa ule mzigo a.k.a msambinnungwa lazima utoe nyumba aisee ..aisee hii ni kasheshe kweli aisee chaaa !!Mmh naona mambo yanazidi kuwa mazito baada ya audio clip ya wema kuvuja akimkashifu mh paul makonda alipokua kituoni,jambo lililonisikitisha ni kumuita muheshimiwa m*t*k* kweli is it fair? yule ni kiongozi tumbukeni jamani naona tunamchezea kama mpira, wema anajiingiza kwenye matatizo mazito sana na serikali, akumbuke kuwa hagombani na makonda anagombana na serikali ya CCM awamu ya tano,sasa sijui kama vita yake ataiweza.
Haya turudi kwenye ubuyu,kumbe makoo anatoka na msambwinungwa? duh na kapangiwa nyumba makongo,mmmh haya mapya aiseeh duh hii ni nomaaa
Lissu atakuwa kakuchapa kinyumenyume kwa lazima wewe ndio maana hauachi kumtaja taja kila wakatiHalafu Wakili na mshauri wa Wema ni Tundu Lisu, hapo sasa ndiyo ujue nchi yetu tuna shida!
wakati wanamuhoji hao police walikuwa wapi? au mahabusu wako free kuongea?
hii vita ni ya makada kwa makada...wacha wafu wazikane na wafu wenzao
======
Sakata la Madawa ya Kulevya limechukua sura mpya kufuatia mwanadada mashuhuri Wema Sepetu, ambaye ni mmoja wa watuhumiwa, kutoa ya moyoni juu ya sakata zima la kukamatwa kwao na kuhusisha tukio hilo na hila dhidi yake.
Pamoja na mambo mengine, Wema amedai kwamba RC Paul Makonda anatembea na Agnes Masogange na amempangia nyumba Makongo ndio maana hajakamatwa ktk kadhia ya Dawa za Kulevya.
Operesheni ya kukamata wanaojihusisha na madawa ya kulevya ilianzishwa na Paul Makonda mwishoni mwa wiki iliyopita, ambapo alitaja majina ya watu mbalimbali wanaohitajika kituoni kwa ajili ya mahojiano, wakiwemo wasanii na maaskari polisi.
Upele umempata mwenye kucha, binamu navyokujua hapa hutoki kwenye uzi huu leo mpaka dinner utapiga humunimefurahi sana maana anajiongezea kesi juu ya kesi,anamtukana mkuu wa mkoa? hajui kuwa anamtukana pia raisi,muache apumzike jela tu.
USIMFANANISHE YESU NA VITU VYA KIJINGANampongeza sana muheshimiwa makonda kwa hatua hii alaf natamani sana aisikie na hii audio ili moto uwe mkubwa zaidi kwa wema na huyo mwenzake anae ropoka kwenye background... Funga kabisa hawa watu wanatesa sana vijana kwa madawa.. Alaf muheshimiwa usiogope kuchukiwa na watenda dhambi wachache... Hata Yesu hakupendwa na watu wote sembuse wewe??? Funga kabisa wakaponde kokoto za reli yetu mpya ya standard gauge kama muheshimiwa jpm alivoagiza...
huyu dada nooma. si naskia yupo bongo kwa sasa?Mange mwenyewe ni suala la muda labda asirudi bongo maana wanamsubiri kwa ham kweli kweli na mkumbuke ni miaka kumi
======
Sakata la Madawa ya Kulevya limechukua sura mpya kufuatia mwanadada mashuhuri Wema Sepetu, ambaye ni mmoja wa watuhumiwa, kutoa ya moyoni juu ya sakata zima la kukamatwa kwao na kuhusisha tukio hilo na hila dhidi yake.
Pamoja na mambo mengine, Wema amedai kwamba RC Paul Makonda anatembea na Agnes Masogange na amempangia nyumba Makongo ndio maana hajakamatwa ktk kadhia ya Dawa za Kulevya.
Operesheni ya kukamata wanaojihusisha na madawa ya kulevya ilianzishwa na Paul Makonda mwishoni mwa wiki iliyopita, ambapo alitaja majina ya watu mbalimbali wanaohitajika kituoni kwa ajili ya mahojiano, wakiwemo wasanii na maaskari polisi.
If she was smart she wouldnt air that incriminating audio.
We nae kwa hela ip aliyonayo kungekalika mjinHawa ni miaka 250 wanatusumbua miaka mingi na hela zao za midawa sasa yeye atukane ila hatoki leo......