engeliazer
New Member
- Sep 3, 2015
- 1
- 0
Kwa Hali hii tutayasikia mengi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa lugha nyepesi za sheria ni hivi mkuu, Wema amekubali tuhuma zinazomkabili Ila anashangaa kwa nini mshirika mwenzake bado hajafika mikononi kwa vyombo vya Dola. Hii ni hatari sana.Kwa lugha rahisi ni kama wema ameshamtaja mmoja tayari(kwamba agnes ni mmoja wao nayeye akamatwe)
Haki inabidi iwe kwa pande zote. Ikiwa Wema katiwa kizuizini polisi kwa tuhuma tu, ilipaswa hata Makonda aitwe ahojiwa kwani naye katuhumiwa kuwa anawalinda wauza dawa akiwemo huyo masogange. Bila hilo kufanyika vita hii itakuwa batili, kwani inaonea wasio na madaraka.Sikuhizi Uhuru wa kusema chochote imekuwa issue. Wema hajafanya makosa kutumia uhuru wa kuongea jinsi anavyo mfikiria Makonda. Makonda ni binaadam na ana mapungufu kama wengine. Kama kusema anatembea au kumpangia nyumba mwanamke fulani ni kosa. Basi, Tanzania tunaelekea kubaya zaidi katika freedom of speech.
Na hasa, je kuna ushaidi wa kutosha kuwa Wema Sepetu anajiusisha na unga? Au ndiyo mkuu akisema ndiyo ushaidi tayari wasiyo na hatia kutiwa ndani! Je Wema amekutwa na madawa au uonevu tu? Wacha hayo wakina Makonda! Serikali haiendeshwi kwa ubabe, lazima mfwate Sheria na haki, siyo kukulupuka tu.
Kwa lugha nyepesi za sheria ni hivi mkuu, Wema amekubali tuhuma zinazomkabili Ila anashangaa kwa nini mshirika mwenzake bado hajafika mikononi kwa vyombo vya Dola. Hii ni hatari sana.
Hahahaa mpaka nione sura ndio utaipata hio salamu
Wamepewa uwanja waropoke wenyewe alafu anasema askari wapo poa sana hawajawagusaKwa lugha nyepesi za sheria ni hivi mkuu, Wema amekubali tuhuma zinazomkabili Ila anashangaa kwa nini mshirika mwenzake bado hajafika mikononi kwa vyombo vya Dola. Hii ni hatari sana.
...Kama namuona Romy na Petman wakichunga ng'ombe na Mbuzi za Bwana Jela huku akina dada wakichota maji na ndoo zao kichwaniNampongeza sana muheshimiwa makonda kwa hatua hii alaf natamani sana aisikie na hii audio ili moto uwe mkubwa zaidi kwa wema na huyo mwenzake anae ropoka kwenye background... Funga kabisa hawa watu wanatesa sana vijana kwa madawa.. Alaf muheshimiwa usiogope kuchukiwa na watenda dhambi wachache... Hata Yesu hakupendwa na watu wote sembuse wewe??? Funga kabisa wakaponde kokoto za reli yetu mpya ya standard gauge kama muheshimiwa jpm alivoagiza...
======
Sakata la Madawa ya Kulevya limechukua sura mpya kufuatia mwanadada mashuhuri Wema Sepetu, ambaye ni mmoja wa watuhumiwa, kutoa ya moyoni juu ya sakata zima la kukamatwa kwao na kuhusisha tukio hilo na hila dhidi yake.
Pamoja na mambo mengine, Wema amedai kwamba RC Paul Makonda anatembea na Agnes Masogange na amempangia nyumba Makongo ndio maana hajakamatwa ktk kadhia ya Dawa za Kulevya.
Operesheni ya kukamata wanaojihusisha na madawa ya kulevya ilianzishwa na Paul Makonda mwishoni mwa wiki iliyopita, ambapo alitaja majina ya watu mbalimbali wanaohitajika kituoni kwa ajili ya mahojiano, wakiwemo wasanii na maaskari polisi.
=====
Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda Simon Sirro amesema kuwa mpaka sasa Jeshi la Polisi linawashikilia watuhumiwa wa Dawa za Kulevya 112 na jumla ya kete 299 huku 12 kati yao wakifikishwa Mahakamani.
Kwa taarifa hii soma > Makonda: Watuhumiwa madawa ya kulevya kuanza kupandishwa kizimbani leo au kesho
Huwa wanajifanya wana mashoga aka marafiki haya ndio wamemuangushia balaa jingine hilo....."usiamini watu wa daslam" Huu msemo una maana kubwa sana hasa ukiufikiria kiuhalisia na bila unafiki...sidhani kama alijua kuwa anarekodiwa.....inawezekana alikuwa na watu wake wa karibu akajiachia kumbe wenzie wanamrekodi