Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Makonda ni mwakilishi wa raisi....alafu wema anamwita mat*ko...
Na raisi leo kazungumzia hili suala .....kuonyesha yupo sirias
 
Sikuhizi Uhuru wa kusema chochote imekuwa issue. Wema hajafanya makosa kutumia uhuru wa kuongea jinsi anavyo mfikiria Makonda. Makonda ni binaadam na ana mapungufu kama wengine. Kama kusema anatembea au kumpangia nyumba mwanamke fulani ni kosa. Basi, Tanzania tunaelekea kubaya zaidi katika freedom of speech.
Na hasa, je kuna ushaidi wa kutosha kuwa Wema Sepetu anajiusisha na unga? Au ndiyo mkuu akisema ndiyo ushaidi tayari wasiyo na hatia kutiwa ndani! Je Wema amekutwa na madawa au uonevu tu? Wacha hayo wakina Makonda! Serikali haiendeshwi kwa ubabe, lazima mfwate Sheria na haki, siyo kukulupuka tu.
Haki inabidi iwe kwa pande zote. Ikiwa Wema katiwa kizuizini polisi kwa tuhuma tu, ilipaswa hata Makonda aitwe ahojiwa kwani naye katuhumiwa kuwa anawalinda wauza dawa akiwemo huyo masogange. Bila hilo kufanyika vita hii itakuwa batili, kwani inaonea wasio na madaraka.
 
Hahahaa mpaka nione sura ndio utaipata hio salamu
6529c28d8b41b1b5d38efacbc703c654.jpg
 
Anayesema Wema kajuaje kua Maso yumo hivi anaishi Tanzania ipi? Maso si alikamatwa South Afrika habari zikasambaa nchi nzima, hamna asiyelijua hili, lazima tushangae iweje mtu kama huyo ambaye hadi kukamatwa alikamatwa asiitwe alafu waitwe watu ambao hata kwenye radar hawakuwemo. Huyu creature anafukuzia uwaziri tu hamna kingine
 
Kama ni kweli bosi asimtaje kabisa manake masogange akienda haja kubwa selo na lile zigo na vle maji ya shida patanuka sanaaa
 
Nampongeza sana muheshimiwa makonda kwa hatua hii alaf natamani sana aisikie na hii audio ili moto uwe mkubwa zaidi kwa wema na huyo mwenzake anae ropoka kwenye background... Funga kabisa hawa watu wanatesa sana vijana kwa madawa.. Alaf muheshimiwa usiogope kuchukiwa na watenda dhambi wachache... Hata Yesu hakupendwa na watu wote sembuse wewe??? Funga kabisa wakaponde kokoto za reli yetu mpya ya standard gauge kama muheshimiwa jpm alivoagiza...
...Kama namuona Romy na Petman wakichunga ng'ombe na Mbuzi za Bwana Jela huku akina dada wakichota maji na ndoo zao kichwani
 


======

Sakata la Madawa ya Kulevya limechukua sura mpya kufuatia mwanadada mashuhuri Wema Sepetu, ambaye ni mmoja wa watuhumiwa, kutoa ya moyoni juu ya sakata zima la kukamatwa kwao na kuhusisha tukio hilo na hila dhidi yake.

Pamoja na mambo mengine, Wema amedai kwamba RC Paul Makonda anatembea na Agnes Masogange na amempangia nyumba Makongo ndio maana hajakamatwa ktk kadhia ya Dawa za Kulevya.

Operesheni ya kukamata wanaojihusisha na madawa ya kulevya ilianzishwa na Paul Makonda mwishoni mwa wiki iliyopita, ambapo alitaja majina ya watu mbalimbali wanaohitajika kituoni kwa ajili ya mahojiano, wakiwemo wasanii na maaskari polisi.

=====
Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda Simon Sirro amesema kuwa mpaka sasa Jeshi la Polisi linawashikilia watuhumiwa wa Dawa za Kulevya 112 na jumla ya kete 299 huku 12 kati yao wakifikishwa Mahakamani.

Kwa taarifa hii soma > Makonda: Watuhumiwa madawa ya kulevya kuanza kupandishwa kizimbani leo au kesho

unaweza kuwa ushahidi mzuri kuwa wema ni mtumiaji ama muuzaji wa unga ila shida yake ni kwa vile tu huyu aliyepangiwa nyumba na makonda hajakamatwa, wacha waendelee nafikiri haya ni matokeo chanya kwa wema ambaye alifanya juudi kubwa kumwiingiza makonda madarakani
 
Bado anaendeleza drama Duh!! Anataka kukimbia na hana breaking what do her expect??
 
sidhani kama alijua kuwa anarekodiwa.....inawezekana alikuwa na watu wake wa karibu akajiachia kumbe wenzie wanamrekodi
Huwa wanajifanya wana mashoga aka marafiki haya ndio wamemuangushia balaa jingine hilo....."usiamini watu wa daslam" Huu msemo una maana kubwa sana hasa ukiufikiria kiuhalisia na bila unafiki...
 
Back
Top Bottom