Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Mmh naona mambo yanazidi kuwa mazito baada ya audio clip ya wema kuvuja akimkashifu mh paul makonda alipokua kituoni,jambo lililonisikitisha ni kumuita muheshimiwa m*t*k* kweli is it fair? yule ni kiongozi tumbukeni jamani naona tunamchezea kama mpira, wema anajiingiza kwenye matatizo mazito sana na serikali, akumbuke kuwa hagombani na makonda anagombana na serikali ya CCM awamu ya tano,sasa sijui kama vita yake ataiweza.

Haya turudi kwenye ubuyu,kumbe makoo anatoka na msambwinungwa? duh na kapangiwa nyumba makongo,mmmh haya mapya aiseeh duh hii ni nomaaa
Watampoteza huyo
 
Yeye akijibu mashtaka tu akifikishwa kizimbani kwani polisi walimkuta na misokoto ya bange na vielelezo vya kuasharia anatumia ngada. Dah makonda mjanja sana alipowaambia waje wenyewe central wakafikiri wanaenda kufanya bongo movie au kutoa single, hawakujiandaa kama kwamba wanaweza wasirudi na kwenda kukaguliwa afterwards[emoji22] bila kujua kwamba sikuzote polisi sio rafiki yako....na mazingira haya kweli ya ngosha.

Ndio maana analia na wengine...,
 
Anasema kile Watanzania wanataka kusikia. Angalia hii thread inavyokimbia!
Ninakubaliana na wewe inabidi afanye vitu vitakavyo msahidia kwenye kesi yake zaidi ya kutafuta wafuasi wa kwenye mitandao!
Wafuasi kwenye mitandao ,how?! Sioni akijadili suala hili kwenye page zake
 
Wale TISS ambae kazi yao ni kula bata club hadi club na wakati mwingine hujifanya ni wakenya au wauza madawa unadhani hawana taarifa za kila mmoja?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Mmh naona mambo yanazidi kuwa mazito baada ya audio clip ya wema kuvuja akimkashifu mh paul makonda alipokua kituoni,jambo lililonisikitisha ni kumuita muheshimiwa m*t*k* kweli is it fair? yule ni kiongozi tumbukeni jamani naona tunamchezea kama mpira, wema anajiingiza kwenye matatizo mazito sana na serikali, akumbuke kuwa hagombani na makonda anagombana na serikali ya CCM awamu ya tano,sasa sijui kama vita yake ataiweza.

Haya turudi kwenye ubuyu,kumbe makoo anatoka na msambwinungwa? duh na kapangiwa nyumba makongo,mmmh haya mapya aiseeh duh hii ni nomaaa
Yaani mwanaCCM anamwita mwanaCCM mwenzake Matako?

Kwanini CCM waitane Matako?

Sio jambo zuri.

Ila hilo la Masogange nalo ni jipya.

Wema anajiongezea Bifu juu ya Bifu, Kesi juu ya Kesi.
 
We nae kwa hela ip aliyonayo kungekalika mjin
Hivi wewe dada mbona kusoma hujui hata picha uoni?? ulitaka amwage barabarani ndio ujue anazo?? Wema ana gege kubwa sana nyuma yake linalompa kiburi na pesa ndefu hata viongozi wetu wanamtumia kwenye mishe zao na hata wafanyabiashara wakubwa kiufupi wema ni muuzaji unga na mwili ila sio mtumiaji namjua fika

OVER
 
Hili zigo lishamfia makonda....huyo wema hana cha kupoteza mpaka.sasa mnyonge mnyongeni haki yake mpeni msipompa Mungu atawaadhibu kama waleeee wa rombo gadhabu ya Mungu inatisha!
Jana nilikuuliza wewe ni teja ukatukana.
Sasa leo tena nakuuliza waweza kuwa zimeshakuisha kichwani labda kama umeshtua tena.
Je wewe U teja?
 
Huyu binti alikua anatafutwa tuu aingiee kwenye kumi na nane wamtengue kiuno' kile kitendo cha kufanya vile VIGOMA kuambatana na vijana wa mjini (mashoga) watu walikua wanamtaftia tuu kumi na nane maaana alikua anaonekana yeye ndio sponser wa zile show na sponser wa mashoga
Kuuumbe
 
Acha Ujinga Kijana, Hekima Si Kipaji Ni Kuruhusu Ubongo Kufikiri Kwa Mapana Zaidi
Wewe ndio mjinga kuliko mm, kwahiyo kusema alicho sema ndio hekima?
 
Lakini tuliwaambia kina wema ccm itawatumia kama kondom
 
🙁hehehe kete 299 si sawa na kopo la kahawa tu,Serikali na mkuu wa mkoa Makonda acha kuonea watu,wakamateni wahusika wa kweli
 
Nampongeza sana muheshimiwa makonda kwa hatua hii alaf natamani sana aisikie na hii audio ili moto uwe mkubwa zaidi kwa wema na huyo mwenzake anae ropoka kwenye background... Funga kabisa hawa watu wanatesa sana vijana kwa madawa.. Alaf muheshimiwa usiogope kuchukiwa na watenda dhambi wachache... Hata Yesu hakupendwa na watu wote sembuse wewe??? Funga kabisa wakaponde kokoto za reli yetu mpya ya standard gauge kama muheshimiwa jpm alivoagiza...
Ha ha ha. Chukua kinywaji hapo kaunta, Bili n'talipa. HALAFU kuna baadhi ya vijana wa CHADEMA nao wamegeuka kuwa watetezi wa Uhalifu.

Huyu Wema Sepetu is a damn fool. Aendelee tu KUJITEKENYA.

RC Makonda, kaza Mkuu. Hakuna kumuonea haya MTU hata kidogo. Ukitaka kumuua nyani usimwangalie usoni.

Hili sakata sio la mapenzi, ni la madawa ya kulevya. Tuwekeni upuuzi pembeni Ili tuwaokoe ndugu zetu wanaongamia Na kupoteza nguvu kazi ya Taifa kwasababu ya MASHETANI WACHACHE.

RC Makonda USIOGOPE, Na tunajua hauogopi. Unasapoti ya Serikali Na Amiri Jeshi Mkuu wa NCHI yetu, Rais MAGUFULI Na zaidi ya YOTE MUNGU ANAKUUNGA MKONO.

Utatoboa tu. Kaza
 
Full Audio Wema Afunguka yanayomkuta Rumande na yanayoendelea kuhusu kupekuliwa hadi nyumbani kwake.

Pole sana dada,mimi nawalaumu Polisi wa Tanzania kwa kuwa mbumbu kwasababu Mkuu wa mkoa kasema wamekwenda kuvamia nyumba za raia na kuanza kusachi bila ya kuwa na kibali cha mahakama,bila ya kuwa na uhakika wa hizo tuhuma..
Tanzania tunakwenda wapi,Mkuu wa mkoa anazuia raia wasiachiwe kwa dhamana.Mungu ibariki TZ
 
Mmh naona mambo yanazidi kuwa mazito baada ya audio clip ya wema kuvuja akimkashifu mh paul makonda alipokua kituoni,jambo lililonisikitisha ni kumuita muheshimiwa m*t*k* kweli is it fair? yule ni kiongozi tumbukeni jamani naona tunamchezea kama mpira, wema anajiingiza kwenye matatizo mazito sana na serikali, akumbuke kuwa hagombani na makonda anagombana na serikali ya CCM awamu ya tano,sasa sijui kama vita yake ataiweza.

Haya turudi kwenye ubuyu,kumbe makoo anatoka na msambwinungwa? duh na kapangiwa nyumba makongo,mmmh haya mapya aiseeh duh hii ni nomaaa
Mungu atakutendea kwa wanao kwa kosa hili
 
Back
Top Bottom