Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawakusema kama wamemaliza kuwakamata wote, hakuna double standard, ni muda tuSiku hizi hakuna risi,ukute hakujua kuwa anarekodiwa mdada wa watu.Ila kuna jambo zuri kasema,,kwanini Masogange ambaye alishakamatwa laivu haitwi polisi??
Double standards huondoa moral authority na ndio mwisho wa mapambano!!
Sikujua Kwa MTU mwenye heshima na umaarufu wangekuta kitu chochote illegalKumbe wamekuta bange kwa Wema(Gazeti la mwananchi)?
Nilijua watakuta coccain kumbe bange!!!
Ireland ya kaskaziniSuala la Masogange hakuna asiyejua.... alikamatwa South Afrika... kama wewe hujui basi utakuwa unaishi Ireland
Elewa hajaandamwa yeye tu, wapo wasanii wengine, ila Kwa kumuandama yeye tu it doesn't mean she is innocent.Kwel mkuu mm ingawa sio shabiki yake Wema lakini kwa nini wamuandame yeye tu. Jamani tusipende watu wengine waonewe bila kosa.
Ushahidi unaweza ukawa nao wewe lakini wahusika hawana, so as a responsible citizen reportHii mbona ni rahisi tu, iweje umkamate ambaye huna ushahidi bali hisia tu ukamwacha yule mwenye ushahidi wa wazi? Kwenye suala hili akina wema wameonewa sana.
Kama uko Tanzania jiangalie. Kuokota mambo kutoka kwa Mange Kimambi na kuyaweka hapa kama yalivyo kutakuponza. Ila kama uko USA Baby mwagika tu kwa raha zako. Ila ingependeza mtu wanakunyuka huku ukipigania jambo la maana na siyo msambwanda wa Masogange [emoji23][emoji23][emoji23]
Basi hiyo audio clip ndio itasababisha waachiwe, tayari msukuma keshahoji bungeni, claim za wema zimepata political legitimacy, hapo makomako kwanza ameshusha personality home kwa tuhuma za kuchepuka hadi kupanga nyumba, pili anahusishwa direct na wauza unga kwa kuambiwa ndio waliowezesha safari za likizo yake majuu, tayari jana ameonekana kuloose confidence, angalia vizuri video ya siro akitangaza kuwapeleka kizimbani hao watuhumiwa. Mpaka sasa ishu itamalizwa kisiasa kimya kimya.Kajikoroga kupanik kunaleta hasara atajutia kauli yake
Halafu reception ya kawaida sana, sasa uko upstair unaweza kukuta hakuna kitu kabisa.kweupeeeYupo kama zombie, wamemuharibu mashimo yoote
Umeandika kwa kuto kujua au kujifariji, Kwa maendeleo ya technolojia sasa hivi kuna kitu tunaita Voice Identification/audio forensic Expert. Unakamatika tu!!!!kwenye ile audio pia anaweza goma kuwa siyo yeye,kwani wapi pametajwa mimi ni wema sepetu
Mbona yy amewaharibia CV zao. Dawa ya moto ni moto tuIla jamn tuache utani hizi voice clip zitamsababishia Wema matatizo zaid wao wanaona km sifa but ni kumuharibia mwenzao zaidi duh so sad kwa kweli