Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Siku hizi hakuna risi,ukute hakujua kuwa anarekodiwa mdada wa watu.Ila kuna jambo zuri kasema,,kwanini Masogange ambaye alishakamatwa laivu haitwi polisi??
Double standards huondoa moral authority na ndio mwisho wa mapambano!!
Hawakusema kama wamemaliza kuwakamata wote, hakuna double standard, ni muda tu
 
....mapenzi yanautesa moyo, uko mbali na masogange njoo utulize..... Belle tisa hii ngoma alifadhiliwa na Mkuu wa mkoa!!!!!



KADA
 
Enzi zangu nikiwa Waziri wa Ujenzi ningempa kijumba kimoja cha Serikali aepukane na adha ya nyumba za kupanga[emoji12][emoji12][emoji12]
 
Kwel mkuu mm ingawa sio shabiki yake Wema lakini kwa nini wamuandame yeye tu. Jamani tusipende watu wengine waonewe bila kosa.
Elewa hajaandamwa yeye tu, wapo wasanii wengine, ila Kwa kumuandama yeye tu it doesn't mean she is innocent.
 
Hii mbona ni rahisi tu, iweje umkamate ambaye huna ushahidi bali hisia tu ukamwacha yule mwenye ushahidi wa wazi? Kwenye suala hili akina wema wameonewa sana.
Ushahidi unaweza ukawa nao wewe lakini wahusika hawana, so as a responsible citizen report
 
Kama uko Tanzania jiangalie. Kuokota mambo kutoka kwa Mange Kimambi na kuyaweka hapa kama yalivyo kutakuponza. Ila kama uko USA Baby mwagika tu kwa raha zako. Ila ingependeza mtu wanakunyuka huku ukipigania jambo la maana na siyo msambwanda wa Masogange [emoji23][emoji23][emoji23]

Huyo Jamaa kauliza tu Swali Kwani hiyo Sheria Mpya imepiga Marufuku mpaka kuuliza swali?
 
Sitaki ugomvi na watu, hata angeshikwa na pembe za faru john inawahusu nini?[emoji39] [emoji39] [emoji39]
d93a2e16c754df21be783dbe4e82f526.jpg
 
Kajikoroga kupanik kunaleta hasara atajutia kauli yake
Basi hiyo audio clip ndio itasababisha waachiwe, tayari msukuma keshahoji bungeni, claim za wema zimepata political legitimacy, hapo makomako kwanza ameshusha personality home kwa tuhuma za kuchepuka hadi kupanga nyumba, pili anahusishwa direct na wauza unga kwa kuambiwa ndio waliowezesha safari za likizo yake majuu, tayari jana ameonekana kuloose confidence, angalia vizuri video ya siro akitangaza kuwapeleka kizimbani hao watuhumiwa. Mpaka sasa ishu itamalizwa kisiasa kimya kimya.
Unaweza kuwa mwanafunzi mnoko ukapenda na mwalimu wa darasa ila wanafunzi wenzako wakakutenga, mwisho wa siku kwa wingi wao wakashinda.
Ushauri wa nape ulikuwa mzuri, hapo inaonyesha wabunge wengi wapo nyuma ya nape, sasa statement ya msukuma peke yake imemny'ong'onyesha makomako, wangeongea wengi ingekuwaje?
 
Biashara ya makalio nayo itapita kama ilivyo pita, biashara ya kujichubua.
 
Watu hawampendi wema nimeamini halafu maskini yy anaamini kila mtu,kulikuwa na sababu gani ya kumrekodi kama si uchawi nn hiki?
 
watuhumiwa wote wamekiri kutumia, wema bangi imekamatwa kwake


oneni aibu
 
kwenye ile audio pia anaweza goma kuwa siyo yeye,kwani wapi pametajwa mimi ni wema sepetu
Umeandika kwa kuto kujua au kujifariji, Kwa maendeleo ya technolojia sasa hivi kuna kitu tunaita Voice Identification/audio forensic Expert. Unakamatika tu!!!!
 
Ila jamn tuache utani hizi voice clip zitamsababishia Wema matatizo zaid wao wanaona km sifa but ni kumuharibia mwenzao zaidi duh so sad kwa kweli
Mbona yy amewaharibia CV zao. Dawa ya moto ni moto tu
 
Back
Top Bottom