Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Elewa hajaandamwa yeye tu, wapo wasanii wengine, ila Kwa kumuandama yeye tu it doesn't mean she is innocent.
Wamekuta bange bangi kwa Wema.Hahahaha.
Mkuu wa mkoa wa Arusha na yeye aanze na viroba maana mawaziri ni mizigo tu
 
Hawakusema kama wamemaliza kuwakamata wote, hakuna double standard, ni muda tu
Kwahiyo na Masogange naye atalala mahabusu au atapelekwa mahakamani moja kwa moja? au hakamatwi?
 
Mmh naona mambo yanazidi kuwa mazito baada ya audio clip ya wema kuvuja akimkashifu mh paul makonda alipokua kituoni,jambo lililonisikitisha ni kumuita muheshimiwa m*t*k* kweli is it fair? yule ni kiongozi tumbukeni jamani naona tunamchezea kama mpira, wema anajiingiza kwenye matatizo mazito sana na serikali, akumbuke kuwa hagombani na makonda anagombana na serikali ya CCM awamu ya tano,sasa sijui kama vita yake ataiweza.

Haya turudi kwenye ubuyu,kumbe makoo anatoka na msambwinungwa? duh na kapangiwa nyumba makongo,mmmh haya mapya aiseeh duh hii ni nomaaa
Tunaunga mkono mapambano, lakini RC hakupaswa kuingia katika kazi ya jeshi la polisi, hivyo sisi wananchi ni kulitoa manani jeshi hili, hapa utaona makonda yupo juu ya polisi, juu ya sheria.
 
Bado itakuwa vigumu ku-prove without reasonable doubt. Ushahidi wa ki-electronic, tena wa audio ni mgumu sana ku-prove without reasonable doubt. Maana hata aliyemrekodi akisema, hapo itakuwa ni aliyemrekodi against Wema! Kwanini huyo aliyemrekodi aaminiwe? Ana ushahidi gani kuwa yeye ndiye aliyemrekodi na aliyerekodiwa ni Wema? Wakili yeyote mzuri anashinda hapo. Ingekuwa ni audio-visual, hapo pangekuwa pagumu!
waliomrecd ni usalama kaka ila afunguke zaidi ndio maana wanamjaza ujinga hàpo
 
Duuu tmefikia huko tena
Asa wema na wewe kua mpolee mbona waropoka adi vya ndani au n hasra but kumbka uko chin yao now jishushe tetea haki ako na ukweli kuhusu we achana na akna masogange utajikuta unaozea lumande bila muafakaaaa ohoooo afu hizo clip anaezirusha mbna anamharibia wema daaaaa
 
Hivi kweli kosa hili la kumpoteza mtu?? Wabunge kibao wavuta bangi.
Ndugu, wale tuliokulia machungani na mawindoni kwa kutumia mishale na upinde, ulikuwa unatengeneza let say mishale mitano. miwili unaiwekea sumu na inakua na masikio (ya asili ile na ilikua hatari sana, ukimchapana nayo sungura hata swala hamalizi round, wewe muache akimbie kazi yako fuata nyayo zake tu utamkuta mbele kakusubiri),miwili, inakuwa ya kawaida tu ingawa mmoja wapo unakuwa na masikio ukipenda na mmoja unakuwa si uliochongoka ni kama rungu hivi (kwa kikwetu tuliuita lubodo/shibodo)

Sasa ukienda kuwinda kila mshale unatumia kutokana na mnyama au mawindo yako, unaweza ukamuona mnyama ukaamua umtese umpe maumivu asikilizie,na hutaki afe, sasa huyu unaweza kuchagua umchape na mshale usio na sumu wala masikio, atapata kidonda atauguza atapona kwa maana hata kuutoa mwilini hauna maumivu.

ama zaidi zaidi unaweza ukamlenga na shibodo/lubodo huu mshale hautaingia mwilini ila cha moto atakiona.

sasa, kifupi zaidi WEM* kalengwa ni kibodo. imeonekana ni bora abambwe na cannabis sativa aka mmea aka jani aka Mary J aka the healing aka joint nk ili tu itimie. Huko ndio kuwindwa, ukiwindwa unaweza usiuawe kwa ajili ya nyama ila unaweza ukapigwa shibo/lubodo kwa sababu inatakiwa iwe hivyo.

Tusisahau, kawaida ni kama sheria. Tusiangalie wem* tu, wapo wengi na wengine hawaandikwi magazetini.
 
Hivyo na huyu macho yangu atakuwa anahusika na uuzaji wa unga kwa sababu c ametajwa kama mmoja wao hivyo (polepole hii wathithikie wanene wa kazi) mkuu atakuwa anachepuka na muudha ungaaaaaaaa!!!!!!!!
 
Ni ukweli unaamini hii vita itafanikiwa kwa kupoteza muda na Wema?? ..

Hivi usalama wa taifa na polisi wanafanya kazi gani kushindwa kuipa serikali information mpaka tunahangaika na hawa akina Wema,??

Siamini kama Wema anaweza kutusaidia kukomesha madawa ya kulevya Tanzania, kama wewe ni mfuatiliaji wa JF utaelewa kwa nini nina wasiwasi na hii vita ilipoanzia....Kuna zile barua zilichapwa sana humu JF za wafungwa walioko China na zimetaja majina ya matajiri wa hao Mapunda sasa nashangaa tunapomfuata Wema ambaye sikuwahi kuona mahali popote akitajwa na kuwaacha hao ambao kila siku hutajwa na mpaka wengine kutumikia vifungo nchi za nje kwa makosa ya madawa..Intelejensia yetu inafanya kazi gani???

Ninaelewa taifa limevamiwa na shetani la madawa ya kulevya tangu enzi za raisi Mwinyi. Wakati wa Mkapa hali kidogo ikawa nafuu na kwa awamu ya nne ndiyo kabisa biashara ikawa kama imehalalishwa. Sasa Mheshimiwa raisi Magufuli anauchungu na uharibifu mwingi uliofanyika kule nyuma. Anatumia kial nyenzo aionayo inaweza kutumika.

Tatizo hawafahamu watendaji wake. Anapaswa kuwafahamu hasa waliokuwa awamu ya nne. Sasa hivi wanakimbila agenda na media kemkem ili wajitangaze, waonekana na mkuu , kisha waziharibu agenda ili zifanyike wanavyotaka wao huku wakijilinda na kuwalinda waharifu.

Katka vita hii ya madawa siwezi kusema Wema na hao wa aina yao hawahusiki. La hasha. Isipokuwa sina imani na dhamira ya Makonda, pamoja na mchakato mzima.

Kama dhamira yake ni njema, basi uwezo wake ni mdogo na hafai kushika hata nafasi aliyonayo. Hakuna kiongozi anayemaanisha ambaye atawatangaza watuhumiwa anaotaka kuwahoi kwenye vyombo vya habari kama si hekaya za Abunuasi. Ninashaka alikuwa anawapa nafasi ya kujiandaa wao pamoja na wakuu wao. Sioni kwa nii wasifanye mawasiliano usiku kwa usiku namna ya kupoteza mwelekeo wa zoezi zima kitu ambacho kiongozi lazima awe anakifahamu.

Usalama wa taifa wanafanya nini kama unavyosema ikiwa kesi kama hizi za kimatifa zinakuwa handled ki--ji--nga kijing namna hii kiasi cha kupoteza ushahidi na mwelekeo wote.

Kwa kuwa lengo halikuwa kukomesha biashara hii bali kuwalinda waharifu halisi, mwisho wa hii shamra shamra naiona ni kusema hakuna wafanya biashara wa madawa TZ, kama ambavyo mafisadi wamesafishwa, lakini hapo haopo watu wanajenga majina kwamba ni majasiri hata wamediriki kudeal n awafanya biashara wa madawa nchini!.

Ninaomba sana Mheshimiwa Raisi awafahamu watu wake kwamba wanachokifanya ni unafiki lakini wanamhujumu mwisho wa siku asiwe na kitu chochote kimefanikiwa katika hali endelevu.
 
Hapo polisi wema hatoki,analeta ustaa hadi kituo cha polisi,ataisoma namba
Atatoka kama tuu wa madawa yakulevya wanatoka ndio sembuse wema, tatizo watz ni washabiki sana hata wavitu visivyokua na maana, sasa kwani Wema kaongea maneno gani kutisha kama muheshimiwa anatembea na huyo eggie kusemwa kuvunja sheria, Wema hajavunja sheria kusema anachokijua kuhusu makonda, other wise wamuonee tuu
 
mbivu na mbichi lazima zijulikane...................
 
Mmh naona mambo yanazidi kuwa mazito baada ya audio clip ya wema kuvuja akimkashifu mh paul makonda alipokua kituoni,jambo lililonisikitisha ni kumuita muheshimiwa m*t*k* kweli is it fair? yule ni kiongozi tumbukeni jamani naona tunamchezea kama mpira, wema anajiingiza kwenye matatizo mazito sana na serikali, akumbuke kuwa hagombani na makonda anagombana na serikali ya CCM awamu ya tano,sasa sijui kama vita yake ataiweza.

Haya turudi kwenye ubuyu,kumbe makoo anatoka na msambwinungwa? duh na kapangiwa nyumba makongo,mmmh haya mapya aiseeh duh hii ni nomaaa
sidhani kama alijua kuwa anarekodiwa.....inawezekana alikuwa na watu wake wa karibu akajiachia kumbe wenzie wanamrekodi

sasa hao watu wa karibu wata mcost
 
Atatoka kama tuu wa madawa yakulevya wanatoka ndio sembuse wema, tatizo watz ni washabiki sana hata wavitu visivyokua na maana, sasa kwani Wema kaongea maneno gani kutisha kama muheshimiwa anatembea na huyo eggie kusemwa kuvunja sheria, Wema hajavunja sheria kusema anachokijua kuhusu makonda, other wise wamuonee tuu
Una choko choko
 
Back
Top Bottom