Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Utafiti umeonyesha kuwa matumizi ya dawa za kuongeza nguvu kama vie Vega na nyinginezo husababisha vifo.
Hii ni kwa sababu huongeza kasi ya mapigo ya moyo ili kusambaza damu kwa haraka na kusababisha kusaidia uume kusimama.
Lakini wakati mwingine huwa zinasabisha madhara hadi kusababisha kifo kwa sababu mapigo ya moyo huwa ya kasi kiasi cha kusabibisa presha kupanda.
Ndio maana siku hizi kusikia mtu kafa ghafla gesti na akiwa anajiandaa kupiga shoo ni kawaida sana. Maana kuna matumizi makubwa sana ya hizi dawa