Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Bc nikisoma mada zao wanavyosifia Naona kuna mautamu humoHata sio vitamu wamekudanganya tu!
Bc nikisoma mada zao wanavyosifia Naona kuna mautamu humoHata sio vitamu wamekudanganya tu!
Nakubaliana na weweSwala la nguvu za kiume Tanzania linamalizwa na saikolojia!, watu wameaminishwa kwenda magoli mengi ndio nguvu!, kwenda muda mrefu, kuwa na dudu kuubwa n.k
Upuuzi ni mwingi na usipokuwa makini ukiyachukua haya ukayaweka akilini mwako basi kuna jambo ukishindwa kulitimiza utajiona we mwenyewe huna nguvu na ndipo hapo utaanza kutumia dawa na huo ndio unakuwa kujichimbia kaburi!.
Ndugu zanguni matatizo ya kisaikolojia sio mazingaombwe haya matatizo ni dhahiri yapo na yanaathiri kwa upana sana!, mpenzi wako anaweza kukuathiri kisaikolojia pia akikuambia tu unakibamia ama hauna nguvu nawewe ukatembea na hilo kichwani mwako basi umeisha!.
Binafsi naamini matatizo ya nguvu za kiume mengi yanasababishwa na saikolojia, sababu za kimwili ni ndogo tofauti na inavyohubiriwa..
Ujinga kwa ke na me na baadhi ya wataalumu ndio wanatufanya tuwe na fikra kuwa tunaupungufu wa nguvu pili kuamini tu kuwa mwanaume pekee ndio anahayo matatizo nao pia ni ujinga!, wapo wanawake wanamatatizo hayo aidha ana low libido au high libido!. Mwanamke ambae ana low ukikutana nae lazima utajihisi wewe huna nguvu za kiume maana hawa ni wagumu kuwafikisha!, unakuta hata kumlowesha tu unatumia nusu saa..!, sasa huyu kuja kumfikisha utachukua muda kiasi gani ndugu..? Utajikuta unahangaika na matatizo ambayo sio yakwako!.
Vilevile ukikutana na mwenye high kidogo tu ashamaliza huyu hata mabusu matano na kunyonya chuchu ameshazidiwa ukiweka anamwaga!, hapa utajiona wewe bonge la shababi...😅
Nimechoka kuandika ila ninayo mengi ila hii dunia inahitaji akili na sio nguvu!, yani zakuambiwa changanya nazakwako na usikubali uingize kila kitu katika akili yako!.
Swala la nguvu za kiume Tanzania linamalizwa na saikolojia!,
watu wameaminishwa kwenda magoli mengi ndio nguvu!, kwenda muda mrefu, kuwa na dudu kuubwa n.k
Upuuzi ni mwingi na usipokuwa makini ukiyachukua haya ukayaweka akilini mwako basi kuna jambo ukishindwa kulitimiza utajiona we mwenyewe hauna nguvu na ndipo hapo utaanza kutumia dawa na huo ndio unakuwa kujichimbia kaburi!.
Ndugu zanguni matatizo ya kisaikolojia sio mazingaombwe haya matatizo ni dhahiri yapo na yanaathiri kwa upana sana!,
mpenzi wako anaweza kukuathiri kisaikolojia pia akikuambia tu unakibamia ama hauna nguvu nawewe ukatembea na hilo kichwani mwako basi umeisha!.
Binafsi naamini matatizo ya nguvu za kiume mengi yanasababishwa na saikolojia, sababu za kimwili ni ndogo tofauti na inavyohubiriwa..
Ujinga kwa ke na me na baadhi ya wataalumu ndio wanatufanya tuwe na fikra kuwa tunaupungufu wa nguvu pili
kuamini tu kuwa mwanaume pekee ndio anahayo matatizo nao pia ni ujinga!,
wapo wanawake wanamatatizo hayo aidha ana low libido au high libido!.
Mwanamke ambae ana low ukikutana nae lazima utajihisi wewe huna nguvu za kiume maana hawa ni wagumu kuwafikisha!,
unakuta hata kumlowesha tu unatumia nusu saa..!, sasa huyu kuja kumfikisha utachukua muda kiasi gani ndugu..? Utajikuta unahangaika na matatizo ambayo sio yakwako!.
Vilevile ukikutana na mwenye high kidogo tu ashamaliza huyu hata mabusu matano na kunyonya chuchu ameshazidiwa ukiweka anamwaga!, hapa utajiona wewe bonge la shababi...😅
Nimechoka kuandika ila ninayo mengi ila hii dunia inahitaji akili na sio nguvu!, yani zakuambiwa changanya nazakwako na usikubali uingize kila kitu katika akili yako!.
Wapo wanaopiga Tizi Kila siku na kula vyakula vinavyoaminika kuwa vinaongeza nguvu za kiume lakini wakifika kwenye mechi sekunde tu kwishaaa
Na wapo wenye vitambi wanaopiga shoo za kibabe
NB: Sijakataza watu kufanya mazoezi ila saikolojia ni jambo muhimu sana !!!
We ni kimbaumbau au bonge?Kabla hujaachana na vimbaumbau Hakikisha umekuja kuniharibia uvulana wangu 😎
Umeandika ukweli 100%Swala la nguvu za kiume Tanzania linamalizwa na saikolojia!, watu wameaminishwa kwenda magoli mengi ndio nguvu!, kwenda muda mrefu, kuwa na dudu kuubwa n.k
Upuuzi ni mwingi na usipokuwa makini ukiyachukua haya ukayaweka akilini mwako basi kuna jambo ukishindwa kulitimiza utajiona we mwenyewe huna nguvu na ndipo hapo utaanza kutumia dawa na huo ndio unakuwa kujichimbia kaburi!.
Ndugu zanguni matatizo ya kisaikolojia sio mazingaombwe haya matatizo ni dhahiri yapo na yanaathiri kwa upana sana!, mpenzi wako anaweza kukuathiri kisaikolojia pia akikuambia tu unakibamia ama hauna nguvu nawewe ukatembea na hilo kichwani mwako basi umeisha!.
Binafsi naamini matatizo ya nguvu za kiume mengi yanasababishwa na saikolojia, sababu za kimwili ni ndogo tofauti na inavyohubiriwa..
Ujinga kwa ke na me na baadhi ya wataalumu ndio wanatufanya tuwe na fikra kuwa tunaupungufu wa nguvu pili kuamini tu kuwa mwanaume pekee ndio anahayo matatizo nao pia ni ujinga!, wapo wanawake wanamatatizo hayo aidha ana low libido au high libido!. Mwanamke ambae ana low ukikutana nae lazima utajihisi wewe huna nguvu za kiume maana hawa ni wagumu kuwafikisha!, unakuta hata kumlowesha tu unatumia nusu saa..!, sasa huyu kuja kumfikisha utachukua muda kiasi gani ndugu..? Utajikuta unahangaika na matatizo ambayo sio yakwako!.
Vilevile ukikutana na mwenye high kidogo tu ashamaliza huyu hata mabusu matano na kunyonya chuchu ameshazidiwa ukiweka anamwaga!, hapa utajiona wewe bonge la shababi...😅
Nimechoka kuandika ila ninayo mengi ila hii dunia inahitaji akili na sio nguvu!, yani zakuambiwa changanya nazakwako na usikubali uingize kila kitu katika akili yako!.
Waongo sana hao,wanataka upoteze uvulana wako Bure!Bc nikisoma mada zao wanavyosifia Naona kuna mautamu humo
Sio bonge, na sio kimbaumbau sana. Nna mwili wa size ya kati wa ujana.We ni kimbaumbau au bonge?
Inasikitisha sana mkuu 🙆Waongo sana hao,wanataka upoteze uvulana wako Bure!
Mtunzie mkeo kimtwangio chake siku ya honeymoon anakifungua mwenyewe kipyaaaaa!Sio bonge, na sio kimbaumbau sana. Nna mwili wa size ya kati wa ujana.
We husomi vyombo vya habari?Tangu mwaka umeanza umesikia wanaume wangapi wamefia gesti?
Kwamba unadhani wote wanafia gest, wngn wanavuta muda wanaenda kufia mbele Au kuponea Huko.Tangu mwaka umeanza umesikia wanaume wangapi wamefia gesti?
Nakubali 🤝Mtunzie mkeo kimtwangio chake siku ya honeymoon anakifungua mwenyewe kipyaaaaa!
Acha uongo basi. Wewe mwenyewe ulishatafunwa mno hata kabla ya kuolewaMtunzie mkeo kimtwangio chake siku ya honeymoon anakifungua mwenyewe kipyaaaaa!
Wengi sana!Tangu mwaka umeanza umesikia wanaume wangapi wamefia gesti?
Acha watu wafe kwenye utamu.Kwamba unadhani wote wanafia gest, wngn wanavuta muda wanaenda kufia mbele Au kuponea Huko.
Inshort tuu, kama una presha bc viagra sio size yako.
NaamAcha watu wafe kwenye utamu.
Watu wengi hawapendi ukweli. Kuna tajiri mmoja alifia gesti huko Kahama miaka ya nyuma. Polisi walikuta viagra mfukoni kwake ilibidi waachane na demu wake. Maana alikifa wakati anajiandaa kupiga shoo.Kwamba unadhani wote wanafia gest, wngn wanavuta muda wanaenda kufia mbele Au kuponea Huko.
Inshort tuu, kama una presha bc viagra sio size yako.