Swala la nguvu za kiume Tanzania linamalizwa na saikolojia!, watu wameaminishwa kwenda magoli mengi ndio nguvu!, kwenda muda mrefu, kuwa na dudu kuubwa n.k
Upuuzi ni mwingi na usipokuwa makini ukiyachukua haya ukayaweka akilini mwako basi kuna jambo ukishindwa kulitimiza utajiona we mwenyewe huna nguvu na ndipo hapo utaanza kutumia dawa na huo ndio unakuwa kujichimbia kaburi!.
Ndugu zanguni matatizo ya kisaikolojia sio mazingaombwe haya matatizo ni dhahiri yapo na yanaathiri kwa upana sana!, mpenzi wako anaweza kukuathiri kisaikolojia pia akikuambia tu unakibamia ama hauna nguvu nawewe ukatembea na hilo kichwani mwako basi umeisha!.
Binafsi naamini matatizo ya nguvu za kiume mengi yanasababishwa na saikolojia, sababu za kimwili ni ndogo tofauti na inavyohubiriwa..
Ujinga kwa ke na me na baadhi ya wataalumu ndio wanatufanya tuwe na fikra kuwa tunaupungufu wa nguvu pili kuamini tu kuwa mwanaume pekee ndio anahayo matatizo nao pia ni ujinga!, wapo wanawake wanamatatizo hayo aidha ana low libido au high libido!. Mwanamke ambae ana low ukikutana nae lazima utajihisi wewe huna nguvu za kiume maana hawa ni wagumu kuwafikisha!, unakuta hata kumlowesha tu unatumia nusu saa..!, sasa huyu kuja kumfikisha utachukua muda kiasi gani ndugu..? Utajikuta unahangaika na matatizo ambayo sio yakwako!.
Vilevile ukikutana na mwenye high kidogo tu ashamaliza huyu hata mabusu matano na kunyonya chuchu ameshazidiwa ukiweka anamwaga!, hapa utajiona wewe bonge la shababi...😅
Nimechoka kuandika ila ninayo mengi ila hii dunia inahitaji akili na sio nguvu!, yani zakuambiwa changanya nazakwako na usikubali uingize kila kitu katika akili yako!.