Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Sijawahi kusikia hiki kitu mkuuNdio maana siku hizi kusikia mtu kafa ghafla gesti na akiwa anajiandaa kupiga shoo ni kawaida sana. Maana kuna matumizi makubwa sana ya hizi dawa
Una umri gani?Sijawahi kusikia hiki kitu mkuu
Halafu sasa hatufi ng'oNa zinazidi kutumika
unaishi wapi wewe ambaye husikii wanaume wakidanja kwa kubugia viagra?Sijawahi kusikia hiki kitu mkuu
unaishi wapi wewe ambaye husikii wanaume wakidanja kwa kubugia viagra?
Dogo mpuuzi huyu. Achana naeunaishi wapi wewe ambaye husikii wanaume wakidanja kwa kubugia viagra?
Naunga mkono hojaSwala la nguvu za kiume Tanzania linamalizwa na saikolojia!, watu wameaminishwa kwenda magoli mengi ndio nguvu!, kwenda muda mrefu, kuwa na dudu kuubwa n.k
Upuuzi ni mwingi na usipokuwa makini ukiyachukua haya ukayaweka akilini mwako basi kuna jambo ukishindwa kulitimiza utajiona we mwenyewe huna nguvu na ndipo hapo utaanza kutumia dawa na huo ndio unakuwa kujichimbia kaburi!.
Ndugu zanguni matatizo ya kisaikolojia sio mazingaombwe haya matatizo ni dhahiri yapo na yanaathiri kwa upana sana!, mpenzi wako anaweza kukuathiri kisaikolojia pia akikuambia tu unakibamia ama hauna nguvu nawewe ukatembea na hilo kichwani mwako basi umeisha!.
Binafsi naamini matatizo ya nguvu za kiume mengi yanasababishwa na saikolojia, sababu za kimwili ni ndogo tofauti na inavyohubiriwa..
Ujinga kwa ke na me na baadhi ya wataalumu ndio wanatufanya tuwe na fikra kuwa tunaupungufu wa nguvu pili kuamini tu kuwa mwanaume pekee ndio anahayo matatizo nao pia ni ujinga!, wapo wanawake wanamatatizo hayo aidha ana low libido au high libido!. Mwanamke ambae ana low ukikutana nae lazima utajihisi wewe huna nguvu za kiume maana hawa ni wagumu kuwafikisha!, unakuta hata kumlowesha tu unatumia nusu saa..!, sasa huyu kuja kumfikisha utachukua muda kiasi gani ndugu..? Utajikuta unahangaika na matatizo ambayo sio yakwako!.
Vilevile ukikutana na mwenye high kidogo tu ashamaliza huyu hata mabusu matano na kunyonya chuchu ameshazidiwa ukiweka anamwaga!, hapa utajiona wewe bonge la shababi...😅
Nimechoka kuandika ila ninayo mengi ila hii dunia inahitaji akili na sio nguvu!, yani zakuambiwa changanya nazakwako na usikubali uingize kila kitu katika akili yako!.
Si tumekubaliana wewe ni bikra lakini🤣🤣🤣🤣🤣Sio mbaya kufa kwenye utamu
Ndio mkuu, mm bado bikra na uboo wangu una lailon yake.Si tumekubaliana wewe ni bikra lakini🤣🤣🤣🤣🤣
Watu mna Siri,kumbe Kuna wenye vitambi wanapiga shoo za kibabe na hamtusanui😀😀😀😀😀Wapo wanaopiga Tizi Kila siku na kula vyakula vinavyoaminika kuwa vinaongeza nguvu za kiume lakini wakifika kwenye mechi sekunde tu kwishaaa
Na wapo wenye vitambi wanaopiga shoo za kibabe
NB: Sijakataza watu kufanya mazoezi ila saikolojia ni jambo muhimu sana !!!
H ishu ya kula vyakula na mazoezi fulani yanakufanya uongeze nguvu za kiume hua tunadanganyana tuu, hakuna itu humo na kama zinaongeza bc n kwa % chache mno Huwez kunotice kwa haraka.Wapo wanaopiga Tizi Kila siku na kula vyakula vinavyoaminika kuwa vinaongeza nguvu za kiume lakini wakifika kwenye mechi sekunde tu kwishaaa
Na wapo wenye vitambi wanaopiga shoo za kibabe
NB: Sijakataza watu kufanya mazoezi ila saikolojia ni jambo muhimu sana !!!
Hata sio vitamu wamekudanganya tu!Ndio mkuu, mm bado bikra na uboo wangu una lailon yake.
Ila hua Naskia sex n tamu, Ndo mana wngn wanauana kisa hiyo sex, Ndo mana mm sitaki kujiingiza huko
Kabla hujaachana na vimbaumbau Hakikisha umekuja kuniharibia uvulana wangu 😎Watu mna Siri,kumbe Kuna wenye vitambi wanapiga shoo za kibabe na hamtusanui😀😀😀😀😀
Ni muda muafaka Sasa wakuachana na vimbaumbau🤗🤗🤗🤗