Dawa za kuongeza nguvu za kiume zitawamaliza wanaume wa Tazania

Vijana hawaelewi wanakaza zana mafuvu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hayo mambo waachien GEN Z afya zinaruhusu sasa unakuta mwanaume age go af anatumia vega kwel ndo maana unakuta wengi walofia gest ni 40 above
 
wait until you realize kwamba wanawake nao saivi hawana nguvu za kike na the proportion amount is increasing. On the other note, wanawake ndo wanaongoza kuwanunulia wanaume zao hizo dawa siku hizi. wanaume wenye upungufu wala hawajiangaikii tena. Everything is upside down.
 
Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…