Dawa za meno ambazo ni nzuri kwa ulinzi wa meno

Dawa za meno ambazo ni nzuri kwa ulinzi wa meno

Mm mwenyewe naipenda sana hii dawa, cjawahi kutumia dawa ambazo ni expensive ila kwa hizi za mid range-price naona hii ni nzuri sana, japo kwenye maduka ya kawaida ni ngumu kuzipata
Ya jamaa wako vzur
 
  • Thanks
Reactions: cdc
aina hii ya colgate mpk supermarket nini maana huku mtaani sizioni?
Yeah mtaani hazipo kutokana na udogo wake bei kubwa hivyo ziko kwenye malls na supermarkets nyingi ukikamaliza kamoja tuu meno hubadilika na kuwa meupe sana.
 
Sensodyne very good vry good Mkuu usiache kuitumia hii na huta juta... huuwa vijidudu....unajua unatakiwa kutumia dawa sio tuu inawesafisha meno yawe meupe lakini zaidi iuwe vijidudu vilivyobakia
Pia msisahau akama mna muda kutumia hata listerine kwa kusukutua mara moja moja
Sensodyne very good vry good Mkuu usiache kuitumia hii na huta juta... huuwa vijidudu....unajua unatakiwa kutumia dawa sio tuu inawesafisha meno yawe meupe lakini zaidi iuwe vijidudu vilivyobakia
Pia msisahau akama mna muda kutumia hata listerine kwa kusukutua mara moja moja
ipi nzuri maana yako mengi mtaani.
 
Wakuu mimi binafsi natumia colget Advanced whitening kina ujazo wa 75mil si nyingi ila bei yake ni Tsh. 4,500 hii nzuri sana watoto wa Arusha utawakamata sana siunajua yale meno yao. Je wewe unatumia Dawa gani? ili niweze ku shift kama ni nzuri zaidi! kuna hizi wanaziita sensodine naona zipo za aina nyingi na sijazikubali ni vigumu kugundua feki.

NB: make sure Colget unayotumia made in Thailand au Brazil.
Tumia Aloe Vera Toothgel (Forever Bright) no Floride. Ni nzuri sana tumia. Bei 15,000 - 17,000
 
yeah mtaani hazipo kutokana na udogo wake bei kubwa hivyo ziko kwenye malls na supermarkets nyingi ukikamaliza kamoja tuu meno hubadilika na kuwa meupe sana.
itabidi niitafute hii...shukrani boss
 
kiukweli nilijua izo sensodine ni nzuri but hovyoo ni kama AHA ya buku tu, ila kuna Colgate moja nzuri niliitumia kipindi flani ina viparticle kama vya srcub ivi ilirudisha weupe wa meno yangu sana na ufresh wa mdomo unauhisi kabisa
😀 eti vi AHA, umenifurahisha
 
Sensodyne ni Nzuri Mkuu sina hakika kama kuna brand nyingi za hiyo product.
Sensodyne ni nzur sana hasa kama meno yanakufa ganzi ila ununue supermarket au maduka makubwa ya dawa, mtaani zipo feki nying zinauzwa had 5,000
 
Back
Top Bottom